mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Mmejifunza nini kwa mzee wetu Mtei?

    Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini! Mzee Mtei kafariki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote ila mzee katuacha. Bumbavu CCM
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mazishi ya mzee Edwin Mtei

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo aonekana kwenye msiba wa mwasisi wa CHADEMA, Mzee Mtei

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mrisho Gambo, amewasili kwenye msiba wa marehemu Mzee Edwin Mtei, mmoja wa waasisi wa CHADEMA, huko Arusha. Hii ni mara ya kwanza kwa Gambo kuonekana hadharani baada ya kutoonekana kwa kipindi kirefu Gambo...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mzee Edwin Mtei kuwasili nyumbani kwake Tengeru jioni ya leo Januari 23, 2026

    Mwili wa Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mzee Edwin Mtei (94), unatarajiwa kuwasili nyumbani kwake Tengeru, nje kidogo ya Jiji la Arusha, leo saa 11:00 jioni. Shughuli za mapokezi ya mwili huo, zitaongozwa na Makamu...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA aliyoianzisha mzee Mtei ilikuwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM sio kama hii ya sasa chini ya Lissu na Heche.

    Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani. Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania tujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 2025

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku asitisha Mkutano wake na Wazee kuwa mubashara

    Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  9. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

    Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao. Kwa vijana Mzee Butiku...
  10. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Buriani mzee wetu Edwin Mtei: Chadema wajue kuwa kifo hakina mwenyewe

    Ndugu Godbless Lema kwa muda sasa amekuwa ni "specialist"wa kuwatabiria vifo viongozi wa Serikali na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi. Kibaya zaidi Vifo vikitokea Machema wanajifungia sehemu na "kuchoma" nyama. Wakati wa Kifo cha Hayati John Pombe Magufuli walifanya hivyo, wakati wa kifo cha...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mwakipesile amkosoa Butiku kuhusu sakata la Polepole 'Huaminiki'

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo. Mchungaji Mwakipesile...
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: Watanzania mkataeni Mzee Butiku kwa nguvu zote, anatumika na ni nyoka, huwa anakutana na Samia Ikulu mara kwa mara

    Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
  13. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mpuuzeni huyo mzee kaagizwa ; Hakuna lolote!

    Mpuuzeni huyo mzee kaagizwa ; Hakuna lolote!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Angalau léo , msikilize Mzee Butiku

    Sikiliza, amerudi kwenye msitari kwa leo. Sijui kesho!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026) Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Rais anajibiwa, kukosolewa na wakati mwingine kubagazwa Mwacheni Mzee Warioba naye apewe dozi. Demokrasia hiyo. Inahitaji uvumilivu.

    Hamjambo wote! 1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea. 2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI. 3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nashauri tumheshimu mzee Warioba na siyo kuruhusu vikaragosi vimdhalilishe

    Kuna chawa anaitwa kikaragosi aka kihongosii. Juzi, alijitokeza na kujaribu eti kumkosoa mzee Warioba. Kumkosoa mtu yeyote si kosa. Ila kosa ni kushindwa kujibu hoja na kuzua matusi na uzushi. Huyu kikaragosi ashindwa na kulegea. Onywe. Warioba siyo saizi ya kikaragosi. Siyo chawa wala zezeta...
  18. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ni tunu ya Taifa

    Adui ni adui tu hata kama anakupongeza. Nimejifunza mambo machache sana kwa hotuba nyingi Mzee warioba tokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya mpaka leo, ninamuelewa sana asemavyo na weledi wake katika taifa letu la Tanzania. Adui ni adui tu hata kama umenyamaza. Hotuba ya warioba...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mstaafu anayelalamikiwa na wanaCCM kuiharibu nchi hakemiwi. Mzee Warioba anayelitakia mema taifa anaonekana mbaya

    Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu. Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba. Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM? Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kijana huna mamlaka ya kumkosoa na kumjibu Mzee Warioba

    Naomba nisiandike sana ila huu mchezo wa vijana ndani ya chama na serikali kuwajibu wazee walio tupatia hili taifa naomba niwakumbushe hamtodumu na wala hamtofika miaka waliofika na kama na tania muda utawajibu mtapata nafasi mtakula maisha ila mtafutika na mahala penu hapatakuwepo kama mnabisha...
Back
Top Bottom