mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Rais wangu Samia, unataka upate tabu kama Mzee Kikwete?

    Aliwakaribisha mpaka ikulu kunywa juisi lakini hawakuacha kumharibia; 1. Serikali ilipowaambia wananchi 'tufanye hivi, wao dakika hiyohiyo walipita na, kwa ubabe mkuu, wakasema 'msifanye hata kidogo'. Watz, wengi wao, ni wasioona mbali, hawakufanya na maendeleo yakadorora. 2. Wafanyakazi...
  2. Utafiti wagundua namna ya kumfanya mzee awe kijana na kijana kuwa mzee

    Maabara ya Boston imeweza kumfanya panya aliyekuwa mzee haoni kuweza kuona, misuli yake kupata nguvu, ubongo wake kuweza kufanya kazi kwa haraka na mwili wake kurudi katika hali ya ujana huku ikimfanya panya kijana kuwa mzee. Utafiti huu umehitimisha kuwa, uzee ni mchakato unaoweza kurudishwa...
  3. T

    Mzee Jakaya Kikwete nakusalimia. Je, hapo vipi?

    Leo namsalimi Mzee Kikwete baba wa Democrasia alie kubali yote ukimuona dhaifu poa ukimuona fisadi poa Yani mambo poa. Ukimsema jukwaani anatafuta jukwaa na yeye anakuwa za uso🤭 Leo namuuliza Mzee wangu mambo vipi? Kama nakuona kila ukiangalia taarifa ya Habari na mitandao unaona kama huwelewi...
  4. K

    Mzee wetu Dkt. Slaa anapata shida kutokuongelewa

    Inasikitisha huyu mzee hajielewi tena na kabaki sasa kutafuta kiki kwa lazima. Amegundua haitajiki tena na kabaki kutafuta muonekano kwa nguvu sana hasa mitandaoni. Pamoja na kwamba amekuwa mapepe sana miaka ya karibuni anaweza kutusaidia kwenye katiba mpya
  5. AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

    Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi. https://www.jamiiforums.com/threads/maskini-rfa-ndiyo-kwaheri-hivyo.1594488/ Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina...
  6. Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  7. C

    Mzee Tanzania na Mama Mkubwa CCM

    Toka mzee wetu azaliwe na kubahatika kumpata mke wa kwanza wa kumtunza Februari 5, 1977 na kuwa mama wa Watanzania wote bara na visiwani kwa miaka mingi, hatimaye mwaka 1992, mzee kwa kushirikiana na mke mkubwa, aliweka wazi wazo lake la kuwa na wake wengi. Wakaibuka wengi kwa namna ambayo...
  8. Tajiri mzee Bakhressa kama 40% ya wana Yanga SC nchini watasusia kununua bidhaa zako, sisi 60% ya wana Simba SC tutanunua tu

    Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika. Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
  9. S

    Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  10. Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

    Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma. Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la...
  11. Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

    Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu. “Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
  12. Mzee wa miaka 62 adaiwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la 6

    Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Maxmilian Malima (62) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilangalanga. Akisoma maelezo ya awali leo Jumanne Desemba 13, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali, Rose Ishabakaki akisaidiana na Eliza...
  13. S

    Tangu mzee Makamba ahutubie pale Dodoma, walinzi wa legacy wanaweweseka sana

    Habari kwamba Rais Magufuli ni dikteta ilianza kusemwa na Tundu Lissu ingali bado Magufuli akiwa hai. Magufuli akaviteka vyombo vyote vya habari, vyombo vya dola, bunge na mahakama. Nchi ikawa kimya hakuna wa kumkosoa wala kumsema vibaya. Aliyethubutu alikiona cha mtema kuni. Akaeneza...
  14. J

    Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  15. Je "kuropoka" Kwa Mzee Yusufu Makamba kwenye Mkutano Mkuu wa CCM uliopita, kunaweza kuleta ukombozi Kwa Taifa letu?

    Mzee wetu Ysufu Makamba, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM alitoa kauli yenye ukakasi mkubwa Sana kwenye Mkutano Mkuu uliopita, kuwa eti viongozi wema huwa hawafi na akatolea mfano wa JK na Kinana, kuwa Bado wako hai hadi Leo, Kwa kuwa wamewatendea mema watanzania! Ingawa kauli hiyo Rais wetu Dkt...
  16. M

    Ubaya wa Hayati JPM ni kudhibiti mianya ya rushwa na kusimamia vyema mapato ya Serikali?

    Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM. Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January? Alihakikisha kuwa pesa za umma...
  17. Rais Samia usidanganywe kuwa unakubalika sana na 2025 utashinda kirahisi kama Mzee Makamba anaepalilia ugali wa mwanae

    Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani. Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania. Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka...
  18. Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  19. F

    Kwanini uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa?

    Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani. Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
  20. Mzee Makamba ulimi uliteleza, alikuwa kwenye emotions. Je, Bashiru ulimi haukuteleza?

    Ni kweli kabisa hasa kwa wanasiasa wawapo majukwaani, wakiwa wamepandwa na midadi au mihemko (emotions), ulimi wakati fulani huweza kutereza na kusema mambo ambayo hawakukusudia. Jana Mzee Makamba ulimi ulimteleza na kutamka maneno ya maudhi kusiana na vifo vya marais wetu. Bahati nzuri rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…