mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je "kuropoka" Kwa Mzee Yusufu Makamba kwenye Mkutano Mkuu wa CCM uliopita, kunaweza kuleta ukombozi Kwa Taifa letu?

    Mzee wetu Ysufu Makamba, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM alitoa kauli yenye ukakasi mkubwa Sana kwenye Mkutano Mkuu uliopita, kuwa eti viongozi wema huwa hawafi na akatolea mfano wa JK na Kinana, kuwa Bado wako hai hadi Leo, Kwa kuwa wamewatendea mema watanzania! Ingawa kauli hiyo Rais wetu Dkt...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa Hayati JPM ni kudhibiti mianya ya rushwa na kusimamia vyema mapato ya Serikali?

    Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM. Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January? Alihakikisha kuwa pesa za umma...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usidanganywe kuwa unakubalika sana na 2025 utashinda kirahisi kama Mzee Makamba anaepalilia ugali wa mwanae

    Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani. Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania. Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa?

    Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani. Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
  6. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ulimi uliteleza, alikuwa kwenye emotions. Je, Bashiru ulimi haukuteleza?

    Ni kweli kabisa hasa kwa wanasiasa wawapo majukwaani, wakiwa wamepandwa na midadi au mihemko (emotions), ulimi wakati fulani huweza kutereza na kusema mambo ambayo hawakukusudia. Jana Mzee Makamba ulimi ulimteleza na kutamka maneno ya maudhi kusiana na vifo vya marais wetu. Bahati nzuri rais...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

    Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa. Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

    Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani. Ni hivi wenye nguvu ndani ya chama wanataka haki itendeke come juwa come rain wanataka kujua ni jambo gani Hayati JPM na Mzee...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya Mzee Yusufu Makamba yasiyo na busara, yameiadhiri CCM kwa kiasi fulani!

    Busara ni kitu cha bure. Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyo Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye maonyo, yatokanayo na uzoefu mkubwa kimaisha. Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba. Maneno ya mzee Yusufu...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM hii ya 2025 ni ya Mzee Makamba na Mzee Kikwete

    Hakuna ubishi kuwa uchaguzi huu wa CCM umetengeneza CCM ambayo inafanana zaidi na Mzee Jakaya na Mzee Yusufu kwa tabia, muonekano na DNA. Nionavyo Mimi CCM hii imetundikwa kwenye mabega ya wazee Kinana na Makamba na vijana wao akina akina Nape na January chini ya uongozi wa Mzee Jakaya (baba...
  11. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba kuna pumzi ya mwisho. Zingatia maisha baada ya Dunia

    Is as if watu hawataondoka kwenye Ardhi hii. Hili sio Kwa Makamba senior pekee. Viongozi wote mjue Kuna maisha baada ya haya. Wekeni maslahi zenu pembeni, ongea uhalisia. Ukweli na Kwa uaminifu. Ni vigumu sana kupata heshima kw njia ya zomeazomea. Najua watu hawaielewi zomeazomea. Hili Lina...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnaodhani kuwa yote aliyosema Mzee Makamba hakuandaliwa poleni sana

    CCM wanajua kuwa Wakisema Jambo Wao piga Ua litasambaa ( trend ) na Watanzania wote kama Kawaida yet tutalishupalia na haraka mno Kusahau mengine ya Msingi ya Kujadili kuhusu Tanzania yetu. Wenye Akili tunajua kuwa Mzee Yusuf Makamba kwa Kujulikana Kwake kuwa ni Mropokaji, Mpenda Sifa na...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mwambieni mzee Makamba kuna maisha baada ya kufa, yeye halijui hilo?

    Unjani sabuwona Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au? Nimeona interview moja anamkaripia mwandishi mmoja baada ya kumuuliza swali murua halafu yeye anajibu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

    Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa! Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini! Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba, Kama unataka January awe Rais chunga ulimi wako usimharibie

    Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki. Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa. Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM wataka wajumbe waridhie Rais Samia kugombea 2025

    Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi wasimame na kupitisha azimio la kuwa Samia Suluhu ndiye atakua mgombea pekee kwa mwaka 2025. "Naona kila...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: 2025 Rais Samia lazima agombee

    Mzee Makamba anasema 2025 hakuna mjadala Rais Samia Suluhu atagombea urais tena. "Uchaguzi umekwisha sasa tunajiandaa na ligi ya 2025, na tunashinda kwa sababu wapinzani wetu ajenda zao ni mbili tu Katiba na Tume ya uchaguzi tu, kule kwetu Bumbuli hawashibi katika, wala mama yangu ukimuuliza...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee alijiunga na CCM lini?

    Nijuavyo alikuwa ni mtumishi wa umma huko Zanzibar. Sasa hayo manguo ya kijani vipi tena leo?
  19. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Bunge la Peru lamuondoa Rais Madarakani huku Tanzania Mzee Makamba akichochea kuni moto uwake

    Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Safi Sana Mzee Makamba!

    Hivyo ndivyo yanavyopaswa kujibiwa maswali ya kipashkuna, Hivyo ndivyo anavyopaswa kujibiwa mwandishi anayesukumwa na wambea wa mitandaoni, a.k.a haters badala ya utaalamu wa taaluma yake. Hivyo ndivyo wanavyapswa kujibiwa haters wa makamba wote waliopo humu mitandaoni ambao masikio...
Back
Top Bottom