mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

    Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi, ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders! Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanzo kulipangwa tusiwe na Mwisho ila kwa sababu ya kuto kutii kwetu basi tunahukumu

    Hapo Mwanzo kulipangwa tusiwe na Mwisho ila kwa sababu ya kuto kutii kwetu basi tunahukumu Juu ya kile chochote tukifanyacho kwa kukusudia au kwa bila kukusudia iwe jema au baya yoote yanalipiwa Hakuna atowaye buree isipokuwa yeye aliye juu naye hutupa kadri ya neema yake Ila Wanadamu...
  4. JamiiForums Tanzania NATO ndio dola ya mwisho, hakuna nyingine itakayoinuka

    Ukisoma kitabu cha Danieli utaona ufunuo wa lile sanamu ambalo nilikua ndio mfano wa Muundo wa Dola ambazo zitaitawala dunia,ulianza utawala wa nebukadreza ambao ulikua na nguvu na imara kama dhahabu, Ukavunjika. Wakaja warumi walikua imara kama chuma nao wakaanguka. Sasa hivi umekuja NATO...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  7. JamiiForums Tanzania Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
  9. JamiiForums Tanzania HOT THREAD: (wamaliza visaani)tutume picha au video fupi zinazoonyesha umefikisha speed ya gari mpaka mwisho

  10. JamiiForums Tanzania Ifike mwisho na wenye ulemavu wasaidiwe

    Naomba niende kwenye hoja. Watu wenye ulemavu Wana Hali mbaya linapokuja suala la upatikanaji na kutumia huduma za jamii. Mfano mdogo Sana kwenye daladala wanahali mbaya sana. Utashangaa unapokutana na kondakta kichaa.... Huduma ya usafiri kwenye majiji iondokane na matumizi ya mabasi yenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Jumanne Sagini: Serikali haihusiki na matukio ya moto

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo. Chanzo: itvtz Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili. Nitakuwa wa mwisho...
  12. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

    Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League. Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17 za soka hakuna mahala popote "advantage play" imeandikwa. Swali kwako Osman, ni kweli huijui Law 5 -...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

    Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
  14. JamiiForums Tanzania Mwisho wa kutumia Tiketi za Karatasi kwenye kivuko cha Magogoni - Kigamboni ni Tarehe 28 Februari 2022

    Salaam Wakuu, Abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni mnakumbushwa kwamba mwisho wa matumizi ya tiketi za karatasi kwenye kivuko hicho ni Tarehe 28 Februari 2022 hivyo abiria wote mnaombwa kununua kadi za N-CARD. Kadi hizo zinapatikana Kivukoni pande Zote mbili. Wakala wa Ufundi na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni tukio lipi liliwahi kukukuta ambalo ilibaki kidogo kuaga dunia, kufungwa, kupata ajali, n.k

    Binafsi nakumbuka kuna siku mvua kali sama ilikuwa inanuesha, siku hio ilikuwa ni mwezi wa 11 ndio siku ya kwanza mvua inanyesha kwa huo mwaka na kiukweli ilinyesha acha kabisa. Sasa nimefika pale kwenye mataa tunapishana na magari kibao, ukungu ukatanda kwenye kioo aisee, sioni kitu mbele na...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni mwisho wa wabunge wasio na vyama bungeni?

    Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao? Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa CCM umefika na hata 2025 Rais Samia hatokuwa Mgombea wa CCM

    Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa. Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025...
  18. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

    Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa...
  19. JamiiForums Tanzania Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Baada ya mihangaiko, iliyoumuisha kiburi na jeuri blackberry imezikwa jana, Blackberry aliweza kukataa mabadiliko, na hivyo kuchukua muda mrefu hadi kushtuka, wakati ambapo kaishapoteza mamilioni ya wateja, wasiopenda mambo ya old school. katika maelezo yao blackberry wamewahi kusema iwapo...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

    Je, Ni huyu ama Watanzania wamngojee mwingine?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…