mwezi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mishahara upoje iwapo kama mwajiriwa akiajiriwa na serikali tarehe za mwisho wa mwezi?

    Habarini wanajukwa? Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
  3. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI ICC itatoa hukumu mwezi huu January 2026, kuhusu mauaji yaliyotokea Oktoba, 2025

    Wakuu nimekutana na Taarifa huko mtandaoni inayoeleza kuwa; "=AZYgKkVELthfF2or8cz9hZgtDA2u2RiBdMfdI8maVSNICA04cSYXXbdXRplfrWQvl_7jXQwbtQeqJ-AHtoRziO5eE5VYJ6t4oaVOH482QFJ6S9hWcWKyFVkANFBRfLwvaufqlpK135He2ochFj0XJkUCngvoo0g2yoYg_jBY6fBEDX62nxo0jsmwKYNFNTfLS8Y1EhB4LKO4uYtMX6BoU9IN&tn=*NK-R']#Kesi...
  4. JamiiForums Tanzania Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi

    Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi — si kwa bahati, wala miujiza, bali kwa maarifa sahihi, mipango thabiti, na ufugaji wa kibiashara unaoeleweka. Changamoto kubwa kwa wafugaji wengi ni 1.kukosa ng’ombe bora, 2. kukosa mfumo sahihi wa kufuga kwa faida. 3...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  8. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi uliopita umeshatoka?

    Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna. Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki. Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana inaua walipakodi ikiamini haina haja nao.
  9. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya inatakiwa kuwa ni ya Serikali tu. Mfano watu milioni 62 wakilipa kwa mwezi shiling 2000. Angalia hapa

    Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao. Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri. Fikiria kama serikali ingeweza kuweka bima ya mwezi 2000 hata chokorohaa na wasio jiweza wangelipa maana...
  10. JamiiForums Tanzania Pesa mwezi huu Disemba 2025 zimeenda wapi?

    Mbona raia hawanunui kabisa?
  11. JamiiForums Tanzania Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

    Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji Utawasikia wapumbavu "Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea" Sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

    Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo. Sweden imesema uamuzi huu...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  15. JamiiForums Tanzania Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  16. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF kulikoni mwezi huu?

    Au makali ya uchaguzi ndiyo yanaanza. Kulikoni?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tangu watoto watundu walipoharibu Tv ya sebuleni sijatengeneza, niendelee kukaza au imetosha ?

    Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu. Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya hapo ni mpaka wiki ijayo.
  18. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana na watu wanaokuomba hela mwisho wa mwezi

    Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja. Utagundua mtu anakutumia DM au WhatsApp baada ya miezi kadhaa bila mawasiliano, mazungumzo yanaanza kwa “bro...
  19. JamiiForums Tanzania DAWASA huwa hawajifunzi kuwa miaka yote mwezi wa 9 na wa 10 wakati wa kiangazi kuna shida ya maji!

    Katika mambo ambayo yananshangaza sana ni namna shiriki la dawasa linavyoongozwa mfano mwezi wa tisa na wa kumi kama mvua za vuli zikichelewa kunyesha kuwa na uhakika kunakuwa na shida ya maji kwa sehemu kubwa ya mkoa wa dar es salaam Na ukiwauliza wanakupa majibu marahisi huu ni wakati wa...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi wa Kufahamishana Mafao ya Mwisho wa Mwezi

    Waajiriwa wengi hutegemea kupata mafao yao ya kazi ikifika mwisho wa mwezi, yaani mshahara wao. Hata hivyo kuna waajiri wengine, hasa serikali ya Tanzania, huwa hawatimizi makubaliano ya kuwalipa mafao ya mwezi waajiriwa wao inapofika mwishio wa mwezi. Uzi huu ni wa kuhabarishana kuhusu waajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…