mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Mandhari ya kuvutia angani - mwezi na sayari = moon among planets

    MANDHARI YA KUVUTIA ANGANI - MWEZI BAINA YA SAYARI (For English version see below) Kuanzia 29 Oktoba hadi 02 Novemba baada ya Mwezi kutoka kwenye giza ya mwandamo siku ya 28 Oktoba. Kati ya 29 Oktoba na 02 Novemba, Mwezi utauona unasogea angani ukiangalia upande wa magharibi mara baada ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi mmepata mshahara wa mwezi Oktoba na mmelipwa malimbikizo yenu kama ilivyodaiwa?

    Kwa kumbukumbu zangu, kuna uzi uliletwa hapa JF katika hili Jukwaa la Siasa ukituhabarisha kuwa mwezi huu wa kumi serikali italipa madai ya watumishi wa umma. Sasa kwakuwa tarehe za mishahara ndio hizi, watumishi tunaomba mtujuze kama kweli mmelipwa kama tulivyoambiwa maana siku hizi siasa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

    jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
  4. JamiiForums Tanzania Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa?

    Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza. Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa? Karibu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

    Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni. Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…