Kaeni chonjo mwezi huu Februari kuelekea Oktoba 2020 uchaguzi mkuu

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,813
18,548
Wengi wenu ni wasahaulifu wakubwa na hamuandiki matukio mbalimbali yanayotokea ili muweze kufanyia uchambuzi. Mimi nawakumbusha tu kwamba mwezi February 2010&2015 ulikuwa mwezi wa ajali nyingi sana, kila siku angalau basi moja lilipata ajali na watu kati ya 5 hadi 10 walipoteza maisha.

Ajali zilifululiza hadi watu wakachoka kusikia kwenye vyombo vya habari. Sasa nawakumbusha na nawataka tufuatilie muvi hii taratibu huku tukijifunza ulimwengu huu ulivyo. Linganisha wingi wa matukio ya ajali 2016-2019, halafu angalia February 2020 pekee itakuwa vipi.

Leo ni tarehe 3 lakini tayari watu 60 wameshakwenda kwa ajali mbalimbali. Kwanini haya yote yanatokea kila mwezi February mwaka wa uchaguzi mkuu? Sijui...

Tuombe Mungu.
 
Back
Top Bottom