mwezi

  1. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Njombe mfanyabiashara ana mauzo ya 500ml kwa mwezi lakini anapanda daladala

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao . Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna member mzanzibari mwenye asili ya asia nae alifariki mwaka jana mwezi wa tano au sio wasita, tumuombee nae

    Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo. Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
  3. JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
  4. JamiiForums Tanzania Tunasubiri Bei ya Mafuta ishuke kwa Mwezi July!

    EWURA Hakuna excuse sahivi. Petrol na Diesel ziwe under 3,500 Tsh kwa July, hafu August ndio isivuke 3,000 Tsh. Masaa machache yajayo tunasubiria mkeka wenu.
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kutafutana mwisho wa mwezi siyataki

    Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu. Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea; achilia mbali manyanyaso ya huko kazini. Sasa ni muda wa kujipongeza mimi mwenyewe na nafsi yangu...
  6. JamiiForums Tanzania Natangaza kila Ijumaa ya mwisho wa Mwezi ntakuwa natoa sadaka kwa watu wasio na uwezo

    Jana nimewasema vijana kutopiga kazi na wengine kutojishughulisha na kuomba omba pesa Kwanini nilisema Kuomba omba pesa na ilinikera Mtu Ana bando Ana simu Ana contact kibao za kuwezo kumpa kibarua hata cha kufyeka apate angalau sh 4000 kwa siku ye anakuja Mtanzanoa kuomba 1000 ya kula ? Huo...
  7. JamiiForums Tanzania Heche: Mbunge analipwa per diem na allowance Tsh. 800,000 kwa siku, mshahara wa Tsh. 18 milioni kwa mwezi

    Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Leo Nimetembea kilometa 25 nimefikisia mwezi kwenye mazoezi.

    Kila siku nilikuwa nakimbia 10km Mpaka leo nimetimiza mwezi kwa kutembea km 25 Sasa mwezi ujao nataka kuhamia Gym Ndugu msomaji una ushauri gani kwangu?? Karibuni
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Serikali (ajira ya 2021 mwezi wa 7), tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja

    Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume unapewa mara ngapi kwa mwezi?

    Kuna wenzako wanapewa mara moja kwa mwezi kama wanapokea mshahara.
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi zilizotoka mwezi wa nne

    JE kuna yeyote aliyeitwa kwenye interview ya security guard (officer) GSM au GEITA GOLD MINE? Tangazo la kazi lilitoka mwezi wa nne mwaka huu
  12. M

    JamiiForums Tanzania kuna kifurushi kisichozidi elf 2 kwa mwezi cheny mb chache kwajili ya Gps Tracking, Kusoma email, Ving'amuzi, mashine za wakala, n.k. ?

    kuna vifaa au shughuli za mitandaoni zinahitaji mb chache sana, mfano gps ya gari inahitaji mb 60 tu kwa mwezi, kusoma emails maybe mb 80 tu kama hakuna attachments, kuna vingamuzi navyo vinahitaji mb chache kwajili ya updates, mashine za pos za miamala huhitaji kiasi kidogo cha data, n.k. ? je...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wataalamu wa Maabala tuliofanya Mitihani ya Leseni mwezi Machi tunaumizwa na Ucheleweshwaji wa Matokeo, HLPC KULIKONI?

    Sisi wataalamu wa maabara(certificate hadi degree) nchini Tanzania ambao tulifanya Mtihani wa Leseni kuanzia march 15 hadi april 01(certificate hadi degree) tumecheleweshewa kupewa matokeo kwa zaidi ya miezi miwili sasa, hali ambayo inatukosesha fursa nyingi ikiwemo ajira zinazotangazwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kipato chako kwa mwezi hakizidi Milioni 1, Mafuta kwa siku si chini ya elfu 20, Bro ! endelea kulinda Brand, soon utaanza kula vitumbua na Mo Chungwa

    Ukisikia gari ni liability basi ndio hii Mafuta yamepanda bei, kuna watu wamo matabaka flani ya kiuchumi ambayo bei za mafuta zimewaathiri sana bajeti zao lakini bado wanakaza kulinda brandi Bei za mafuta zimefanya hata wenye ist, Vitz , Premio, n.k. kutumia 20K kila siku, Sasa imagine mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye mshahara wako ukisave kila mwezi 700k unabakiwa na tsh ngapi?

    Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana. Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi...
  16. JamiiForums Tanzania Aweso: IRUWASA ikamilishe mradi wa muda mfupi ndani ya mwezi, Vijiji vya Luhindo na Lulanzi vipate maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja inatekeleza mradi wa muda mfupi kuhudumia Kaya zipatazo 23 zinazokosa maji katika Vijiji vya Luhindo na...
  17. JamiiForums Tanzania AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  18. C

    JamiiForums Tanzania uzi bora wa mwezi ni wa Joannah

    ‎huu uzi nadhani unaweza usipate mpinzani siku za karibuni ‎ ‎huzi wenyewe ni huu 👇🏾 ‎Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia ‎ ‎hapa Joannah akishirikiana na Labella wamemwaga madini ambayo yana mafunzo yanayoweza kukusaidia na kukuokoa au kumuokoa rafiki yako siku moja ‎ ‎kuanzia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuna maji mtaani mwezi mzima, idara ya maji Arusha (AUWSA) hawashughulikii

    Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane. Cha ajabu ni kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…