Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza.
MY TAKE;
Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 16 Februari, 2026 ametoa sadaka maalum kwa viongozi wa dini ya Kiislamu katika Misikiti tofauti ya Musoma Mjini ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono maandalizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sadaka hiyo imelenga kuwasaidia viongozi wa dini...
Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo.
Mashabaki hao...
Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza.
Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani?
Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir: Mwezi haujaonekana...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na kuacha tabia ya kupandisha bei bidhaa kwakuwa wanaoumia ni wananchi.
Alhaj Dkt. Mwinyi ametoa tamko...
WanaJf, Salaam!
Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.
Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia...
Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani.
Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii:
"Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
Mashinikizo ya vita yameanza kumuelemea waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na kuanza kuona dalili mbaya mbele yake.
Marekani mbali na kutofautian naye katika sera za kivita vile vile imesimamisha misaada kifedha katika wakati ambapo uchumi wa Israel unadidimia kiasi kwamba bondi za miamala...
Shahidi namba moja Dkt. Fahad Nassor Mohammed katika kesi namba 59 ya Mwaka 2023, inayomkabili Mshtakiwa Ramadhan Hassan Ali ambaye anashtakiwa kutenda makosa mawili ikiwemo kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kosa la pili la maudhui ya king’ono ametoa ushahidi wake mbele ya Mahakama ya...
Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja.
Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
Wiki iliyopita Waislamu zaidi ya bilioni moja kote duniani walianza kutekeleza nguzo ya nne ya Uislamu ambayo ni kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo China, ndani ya kipindi hiki Waislamu hutekeleza imani yao kwa uhuru bila kubanwa. Kwa hivyo kwa wale ambao...
Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanza tarehe 22 mwezi huu, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti na matangazo ya mahubiri misikitini.
Soma hapa...
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Kwa Maslahi ya Taifa NIpashe ya leo.
Safu ya Kwa Maslahi ya Taifa, inazungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, kwa vile sasa tumeingia kipindi cha Kwaresma, mfungo wa siku 40 kwa ndugu zetu Wakristo na mfungo wa mwezi...
Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida kila mwislamu duniani anajiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wa China nao...
KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi mwisho wa mfungo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, George Simbachawene amewasilisha hoja hiyo...
Wake wa mikoani ni wazuri kitabia ila ni chagamoto katika mapishi kwenye mwezi kama hu wa Ramadhani.
Workmates wangu wamefunguka jana kwamba wake zao hawajui kuanda futari ya kufuturu mwezi hu mtukufu, alie anzisha mjadala alisema ana acha hela ya kutosha nyumbani ila mke wake hajui kuanda...
Nawatakeni radhi wasomaji wangu kwa kuandika kwa Kiingereza na Kiswahili:
RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS
''Leo Chungu Tatu Ramadhan 1436 Dhuhr imenikuta Ubungo/Mandela.
Takbir za sala nazisikia zikirindima kutoka vipaza sauti lakini msikiti wenyewe siuoni.
Nikauliza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.