Ilitakiwa Uchaguzi Mkuu ufanyike kipindi cha Mwezi Mtukufu au Kwaresma?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,259
WanaJf, Salaam!

Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.

Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia Mungu, na kipindi cha uongozi wa Serikali kiongozi mwenye imani ya Ukristo hususan Kwaresima huamini kuwa kipindi hiki ni cha kujitaabisha na kumrudia muumba.

Sasa je, ikiwa ni kweli kwamba zinakuwepo hujuma dhidi ya upinzani - ikitokea uchaguzi ukafanyika vipindi hivyo vya mfungo viongozi wanaweza kuwa na uoga wa:-

(a) Kutohujumu uchaguzi?
(b) Viongozi wa upinzani kutosema uongo na uzushi kuhusu tuhuma za uongo kwamba wameibiwa kura?

Huwa natafakali why opposition parties wazue? Why leading party izuliwe?

Ngaika Ndenda
Mfungo mwema.
 
Hapa shamba la bibi danganyika hata iweje wanakupiga tuu labda zenji!
vyeo vitamu ati wenyewe huenda hadi kwa waganga kutafuta vyeo...hukuona jobu alivyopanikigi akapiga watu fimbo na kuhema kama kachkuliwa waifu
 
WanaJf,

Salaam!

Kila baada ya uchaguzi mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.

Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia Mungu. Na kipindi cha uongozi wa Serikali kiongozi mwenye imani ya Ukristo hususan Kwaresima huamini kuwa kipindi hiki ni cha kujitaabisha na kumrudia muumba.

Sasa Je, ikiwa ni kweli kwamba zinakuwepo hujuma dhidi ya upinzani - ikitokea uchaguzi ukafanyika vipindi hivyo vya mfungo viongozi wanaweza kuwa na uoga wa:-

(a) Kutohujumu uchaguzi?
(b) Viongozi wa upinzani kutosema uongo na uzushi kuhusu tuhuma za uongo kwamba wameibiwa kura?

Huwa natafakali why opposition parties wazue? Why leading party izuliwe?

Ngaika Ndenda
Mfungo mwema.
Kwani sahivi hujui kama kuna uchaguzi wa madiwani? CCM mbEle ya kuiba haina rafiki wala cha MUNGU
 
Mkuu huko watawala wetu walishatoka,wanachoogopa ni NJAA YA TUMBO n UROHO wa MADARAKA,wapo tayari kufanya LOLOTE kwa gharama na njia yoyote,kikubwa tu,waendelee kudhibiti DOLA

Hao, Mungu kwao ndio ATHUMANI sasa,hawamuogopi wala kumheshimu
 
WanaJf, Salaam!

Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.

Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia Mungu, na kipindi cha uongozi wa Serikali kiongozi mwenye imani ya Ukristo hususan Kwaresima huamini kuwa kipindi hiki ni cha kujitaabisha na kumrudia muumba.

Sasa je, ikiwa ni kweli kwamba zinakuwepo hujuma dhidi ya upinzani - ikitokea uchaguzi ukafanyika vipindi hivyo vya mfungo viongozi wanaweza kuwa na uoga wa:-

(a) Kutohujumu uchaguzi?
(b) Viongozi wa upinzani kutosema uongo na uzushi kuhusu tuhuma za uongo kwamba wameibiwa kura?

Huwa natafakali why opposition parties wazue? Why leading party izuliwe?

Ngaika Ndenda
Mfungo mwema.
Hawako kwenye hizo dini kwa imani, Bali huwa wanatumia kivuli Cha dini kuhadaa umma kuwa ni wacha Mungu. Hakuna jizi linaogopa hizo porojo za mwezi mtukufu au kwaresma.
 
Wewe huwajui watu mkuu kwani huwa wanaapa kwa vitabu gani? Kama Kuna hofu ya Mungu wangeanzia hapo.
 
WanaJf, Salaam!

Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.

Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia Mungu, na kipindi cha uongozi wa Serikali kiongozi mwenye imani ya Ukristo hususan Kwaresima huamini kuwa kipindi hiki ni cha kujitaabisha na kumrudia muumba.

Sasa je, ikiwa ni kweli kwamba zinakuwepo hujuma dhidi ya upinzani - ikitokea uchaguzi ukafanyika vipindi hivyo vya mfungo viongozi wanaweza kuwa na uoga wa:-

(a) Kutohujumu uchaguzi?
(b) Viongozi wa upinzani kutosema uongo na uzushi kuhusu tuhuma za uongo kwamba wameibiwa kura?

Huwa natafakali why opposition parties wazue? Why leading party izuliwe?

Ngaika Ndenda
Mfungo mwema.
uchaguzi mkuu haufanyiki kwasabb ya mfungo wa kwaresma au mfungo wa ramadhani. Uchaguzi mkuu unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒

masuala ya kidini yafanyike huko kwenye Taasisi za kidini kwa Sheria na taratibu zao 🐒
 
Back
Top Bottom