mweupe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kimsboy

    Watu wa zamani pichani walikuwa weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe?

    Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe. Hapa nazungumzia...
  2. Translator and 97 others

    Jinsi ya kuwaelewa wanaume au wanawake kwenye mahusiano

    Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida. Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
  3. vivian

    Traffic Police Mweupe Mfupi anayeeongoza magari kwenye taa za St. Peters Osterbay anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu

    Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana. Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
  4. Corticopontine

    Moshi mweupe kesi ya Sabaya

    Arusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena mashtaka hayo kosa moja likiongezeka. Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka aliileza mahakama hiyo kuwa...
  5. mjusilizard

    Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

    Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
  6. 4

    Watani zetu wa kisiasa CCM chukua wazo hili kwa moyo mweupe, siasa sio vita

    Kwanza tupeane pole ya msiba,KWA maana marehem alikua kiongonzi wetu wote kama Rais, that's jana nimeshinda kwenye tv mpaka macho yanauma ili kushudia safari yake ya mwisho,hivyo ni wazi mh jpm(Rip) Chama chake ilikua posta kwake ila barua ilikua ni ya wazi KWA watanzania wote. Mada husika...
  7. sky soldier

    Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

    Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli. Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino. kwa sasa nimeo na mke wangu ni mweusi, na hata hapo zamani nilikuwa kinganganizi msumbufu mno kuhakikisha binti...
  8. MENISON

    Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani, Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi. Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua. Hivi huu ni ugonjwa au?
Back
Top Bottom