mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Bila Kadi kwa mtu mzima hupandi mwendokasi

    Kuanzia leo Julai 1, 2025, huduma ya Mabasi ya Mwendokasi jijini Dar es Salaam imesitisha rasmi matumizi ya tiketi za karatasi kwa abiria wa kawaida na kuanza kutumia mfumo wa kadi maalum zenye salio. Abiria sasa wanatakiwa kuwa na kadi hizo, zitakazopatikana katika kwa shilingi elfu moja na...
  3. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Nafsi za kazi Mofat mwendokasi

    Aya ajira izo apoooo msiseme hamjaambiwa kazi kwako
  4. sawariya

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza rasmi miaka miwili toka niwe rasmi abiria wa mwendokasi

    Kama nilivyoanza story yangu leo tarehe 17/06/2025 nimefikisha miaka miwili kabisa yakutumia usafiri wa mwendokasi( BRT ) kama usafiri wangu kwenda na kurudi kazini kila iitwapo leo. Sasa basi nikaona ndani ya siku hii ya maadhimisho hayo nijaribu kuzungumzia yale...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MOFAT ya Tanzania yapewa tenda ya kuendesha Mwendokasi kipande cha Gerezani-Mbagala kwa miaka 12

    My Take Naunga mkono dhana ya uwekezaji wa ndani kuliko wa Nje. Wawekezaji wa ndani wenye uwezo jitokezeni mkamate tenda na muoneshe ufanisi tusiwe kama Mwendokasi ya UDART. https://www.instagram.com/p/DLPL2x6IBJ2/?igsh=ejdmNzRuMzZuY3k5 --- KAMPUNI ya Kizalendo ya Mofat imepewa mkataba wa...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waarabu wakabidhiwa mradi mabasi ya mwendokasi

    DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Soma pia: Mabasi mwendokasi Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kilimo cha abanora (pilipili mwendokasi)

    Habari zenu wadau, Nimejaribu kulima pilipili za mwendokasi, japo nilizichelewesha kwenye kitalu lakini nimezipanda zikashika vizuri zikakutana na kiangazi zikala jua la kutosha la Dar then ilipokuja mvua ziaanza kutoa pilipili kiasi lakini kipindi chote sijaiweka dawa wala mbolea zaidi ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mateso katika mabasi ya mwendokasi

    Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi kwa sasa ni ya kusikitisha. Safari zimekuwa mateso, msongamano ni wa kutisha katika mabasi haya kiasi...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  10. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Huduma za mwendokasi

    Salaam wakuu, kama kichwa kinavyojieleza,kiukweli mimi binafsi nilikuwa na matumaini makubwa na huduma ya mwendokasi kwamba atakuwa mkombozi wahuduma za usafirishaji jijini Dar. Miaka ya nyuma nilikuwa naishi Maeneo ya Tabata kwa hiyo sikuwa mtumiaji wa huduma hii,lakini niliamini itasaidia sana...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

    At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kindamba: Mwendokasi iligeuka Mwendohasira, hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili. Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
  14. M Hacker

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria hawathaminiwi hata kama analipa nauli mwendokasi Gerezani-Mbezi mwisho

    Jumatatu mida ya saa moja na dakika 15 nipo gerezani nasubiria gari ya Mbezi picha linaanza watu niliowakuta ni wengi na gari hamna toka saa 19:15 hadi saa 20:40. Gari zinazopita zinaenda Kimara au Muhimbili na Morocco ila Mbezi ndo kama umesahaulika saa 20:40 gari za Mbezi zinafika Gerezani...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani tabata Pana ishu gani MPAka pajengwe mwendokasi

    Hakuna viwanda Hakuna taasisi Hakuna vyuo Hakuna chochote Hakuna ubalozi Hakuna cha maana Hakuna mall kubwa Hakuna stand kubwa Sasa iweje pajengwe mwendokasi hizo fedha si heri zikafanye ishi nyingine..ila Sina uhakika kama KWELI Kuna huo mpango wa mradi ila nilimsikia Mad Max akisema...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa kipande cha Mwendokasi Karume (Dar) upo 'slow', unasababisha kero ya foleni

    Kwa zaidi ya miezi miwili eneo la Karume ambalo ni maarufu kwa wafanyabiashara wa mitumba kumekuwepo na changamoto ya foleni ambayo inatokana na ujenzi wa njia ya Mwendokasi. Mkandarasi ameziba njia upande mmoja kwa muda mrefu huku shughuli za ujenzi zikiwa zinafanyika taratibu (slow) jambo...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mwendokasi: Ukombozi uliogeuka mateso kwa wakazi wa Dar es Salaam

    Katika mji wa Dar es Salaam unaokua kwa kasi kubwa – kijamii na kiuchumi – changamoto ya usafiri wa umma imeendelea kuwa doa kubwa katika jitihada za kuimarisha maisha ya wakazi wake. Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na matumaini makubwa ya kupunguza...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa Bangladesh

  19. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa Mwendokasi?

    Wakuu Siasa na biashara ni sumu...ni nani wanamiliki kampuni hii ya DART? Bila shaka wana nguvu kuliko serikali Hii ni dalili nzuri ya kuonesha kufeli kwa serikali...
  20. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kwanini ticket za mabasi ya mwendokasi zisikatwe kupitia mawakala wa Bank?

    Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
Back
Top Bottom