mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa EATV ashambuliwa na wanaodaiwa kuwa polisi, wakati akifuatilia changamoto ya usafiri wa mwendokasi Mbezi

    Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha EATV, Marco Kilo amedaiwa kushambuliwa wakati akiendelea na majukumu yake ya kihabari katika Kituo cha Mabasi yaendayo kasi (Mwendokasi) cha Mbezi Luis juzi. Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, wakazi wa Mbagala wataweza kutunza mabasi ya mwendokasi yenye viyoyozi na WiFi?

    Mabasi ya sasa. Hali ya usafiri wa mbagala. Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini. Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Samia ameshindwa kutunza mabasi ya mwendokasi, ataweza kuwatunza Watanzania milioni 65?

    Naauliza tu Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Serikali iliyoshindwa kuendesha Mwendokasi ingeweza Mgodi? Rostam kweli anakwepa Kodi hakunaga muhindi anae penda KULIPA kodi

    Rostam ni muhindi kama walivyo wengine Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa...
  5. bikira latifah

    JamiiForums Tanzania Jana limetokea tukio la ugomvi wa dereva na mwanamke kwenye mwendokasi wameshikana mashati

    Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu...
  6. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Kukimbilia siti za daladala au mwendokasi ni akili za wapi?

    Daladala inakuja kituoni unakuta mzee anagombania mlango kuwahi siti alafu cha ajabu anashuka kituo cha 10. Kugombania siti kwa mzee kunawafanya wadharaulike na vijana ndo maana kijana akimuonq mzee kasimama hawezi kumpisha na Waleed wanatamani tuwapishe. Baba mkwe nilimwona anagombania...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Niko kituo cha mwendokasi hapa Korogwe, ndani ya lisaa zimepita gari 3 tu

    Moja la Morocco Moja la Mbezi-Gerezani Moja la Kimara-Gerezani Inavyoonekana hii route ya Morogoro Road leo ina gari zisizozidi 10. Kimsingi hali ya hii taasisi ni mbaya sanaa.
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wanaosema ist sio gari wanakaa kwenye mwendokasi kama njiti za kiberiti

    Wabongo wa vijiweni wanatabia ya kubeza sana usafiri wa watu wengine utasikia vitz sio gari , ist ni bajaji halafu huyo anayezungumza hivyo ukimkuta ndani ya mwendokasi utamuonea huruma
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Polepole na siasa za mwendokasi

    Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda kusikia masikioni mwao na hizo ndo siasa mwendokasi ila mwisho wa siku utakua ume-achieve nini jibu...
  10. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi mpya zimewasili ✅

    Tanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DART: Sio lengo letu kuuza kadi za Mwendokasi siku za 'weekend'

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa ufafanuzi kuhusiana na malalamiko yaliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com alidai kuwa wakati wa Siku za Jumamosi na Jumapili wahusika hawauzi kadi zinazowezesha abiria kupanda usafiri wa Mwendokasi. Kusoma hoja ya Mdau kuhusu tiketi, bofya hapa ~...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

    Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mabasi 300 ya mwendokasi yaliyopaki Karakana kwa ubovu wa engine, yafungwe motor za umeme

    Mabasi haya yapatayo 300, kwa sasa hayafanyi kazi, yamepaki tu bure huku abiria wa Kimara wakiishi kama wapo Somalia, inashangaza na kusikitisha, Rais hata aibu haoni.., anataka mitano tena, aibu tupu!! Sasa basi, kwakuwa maintanance ya hizo engine na gearbox za Cummins inaonekana kuwa...
  14. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka kampuni la mofat linalohusika na mwendokasi ilikuwa kweli?

    Wajomba! majuzi hapa kama sikosei ni mwezi umepita zilitokea fursa na matangazo mengi kuhusu nafasi za kazi kwa kampuni la usafirishaji MOFAT lenye kuhusika na huduma za mwendokasi (BRT). Waliweka vigezo vingi sana na nafasi nyingi zilitangazwa kama MADEREVA WAKATA TICKET MAFUNDI MECHANICAL...
  15. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Tunailaumu mwendokasi lakini na hili pia ni tatizo

    Ndio! Pamoja na mapungufu yote ya uongozi na uendeshaji wa mwendokasi kuna tatizo kubwa sana la WATANZANIA Watanzania kwa maana ya watumiaji wa mwendokasi na madereva hawa watu sio wastaarabu kabisa katika utumiaji wa vyombo hivi vya usafiri. Mtu unaona gari limejaa mpaka mlango haufunguki...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za serikali hususan katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Wananchi. Akiwa Kituoni hapo asubuhi ya leo...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kwa hadha inayoendelea kwa wakazi wa kimara ni vizuri daladala zikarusiwa kupita kwenye njia ya mwendokasi wakati uvumbuzi ukitafutwa

    Watu wa kimara wanateseka sana na ni mda mrefu sasa sahivi hata mtu akitaka kuhamia kimara na anafanya kazi posta au kariakoo na hana usafiri bnafsi basi anajifikiria mara kumi kumi sababu ya adha ya usafiri wa mwendokosi Magari ni machache usafiri ni wa kugombania sana, kuna watu wanafika...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

    Ujumbe huu uwafikie wenye mamlaka wa kutoa maamuzi juu ya usafiri wa Mwendokasi. Hali ilivyo sasa inatisha na kuzidi kuwa mbaya siku hadi siku kutokana na kuwa na mabasi machache yanayofanya kazi. Hali hii inalazimu watu kukaa zaidi ya saa moja hadi mbili kusubiria magari machache hayo ambayo...
Back
Top Bottom