mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kuondoa kero ya mabasi ya mwendokasi - Rais naomba nafasi mimi mzalendo

    Mh. Rais pole na majukumu yako ya kila siku na kubwa ni katika kuwaletea maendeleo watanzania. Natambua kuwa kwa nyakati tofauti tofauti ukipata nafasi huwa unapitia mitandao ya kijamii na kuona au kusoma jumbe mbali mbali wanazotoa watanzania au jumbe za kukushauri na nyingine nyingi za...
  2. Donnie Charlie

    Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  3. bopwe

    Mradi wa mabasi ya mwendokasi- umefeli

    MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi wa kawaida. Tunaposema Tanzania ni nchi ya wizi na rushwa, hatusemi kwa dhana tu—tuna ushahidi wa...
  4. M Hacker

    Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  5. Waufukweni

    Bunge labaini kusuasua kwa usafiri wa Mwendokasi Dar

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma leo...
  6. Waufukweni

    Mwendokasi kusitisha tiketi za karatasi kuanzia Machi, wasafiri kutumia kadi janja

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART Mwendokasi ) umesema kuanzia mwezi March mwaka huu wa 2025 utasitisha rasmi matumizi ya tiketi za karatasi katika usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka na badala yake Watumiaji wote wa Mabasi watatakiwa kutumia kadi janja ambazo zinaendelea kuuzwa katika vituo...
  7. Miguel Felix Gallardo

    Hivi kwanini mwendokasi wasitengeneze mfumo uunganishwe na simu banking watu wawe wanascan tu kupata huduma? Hili la kadi ni gharama

    Hivi ni kweli Mwendokasi wamekosa wataalamu kabisa wa kutengeneza mfumo wa malipo ya kuscan kwa kutumia smart phones. Hoja ya kwamba sio watu wote wana simu janja ni hoja mufilisi ukilinganisha na hoja ya kadi ambayo ilishaprove failure hapo awali. Kwanini THINK TANK ya hii nchi haipendi...
  8. M

    Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  9. Dear_me_

    Tukutane mwezi April. (Mwendokasi)

    Usafiri wa mwendokasi unazidi kuzidiwa nguvu kila siku. 🥲 kwa nini wasipunguze adha kuwa kuleta ata 20 Leo kuna mtu kamshika mwenzie shingo akijua ni nguzo Mwendokasi Mwendokasi Mwendokasi Huu ujio wa magari umepigwa sana tarehe mnaishia kupiga nayo picha tu.
  10. Roving Journalist

    Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  11. Damaso

    Mwendokasi kutumiwa na wageni kuanzia keshokutwa

    Serikali imetangaza kwamba ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika unaonza keshokutwa, wageni watakuwa wakitumia njia ya mwendokasi kwenda na kurudi Uwanja wa Ndege. Akizungumza na waandishi wa habari jioni hii, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  12. kante mp2025

    Bakhresa Apewe Mradi wa Mabasi ya mwendokasi

    Asee huu mradi apewe Bakhresa atatisha sana
  13. LICHADI

    Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

    CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
  14. Pfizer

    Dar: Morocco na Mwenge kujengwa barabara za Juu. RC Chalamila ataka kazi ifanyike Mchana na Usiku

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema. Ameyasema hayo leo tarehe 15 Januari wakati alipotembelea ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi awamu ya nne...
  15. M

    KERO UDART wekeni utaratibu wa baadhi ya Mabasi yenu ya Mwendokasi kuanza kupakia abiria wanaoanzia safari katikati ya njia zenu

    Salaam Imekuwa kero, shida, usumbufu na tabu kwa abiria wanaotegemea usafiri huu katika vituo vya kati vilivyopo katika njia kuu za mabasi ya mwendokasi. Mfano njia ya kimara kuelekea gerezani ama kivukoni kwa abiria anayeanza safari yake katika vituo vya Korogwe, Bucha ,Baruti, Shekilango...
  16. PureView zeiss

    Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025

    "Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini-...
  17. S

    Tunaomiliki daladala Dar upepo wa biashara utaathiriwa sana na Mwendokasi

    Kwa kasi ya ujenzi wa barabara za mwendokas kuna root zitaenda kufa au kususuasua route za Bunju - Ubungo. Bunju - Makubusho Goms - Kariakoo Mbagala - Kariakoo. Hizi routes mapato /hesabu ya boss itapungua by half yani 50%. Ni vyema kuanza kuinvest kwenye sector nyingine.
  18. Mtoa Taarifa

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Barabara za Kimara, Mbagala zitapata Mabasi mapya ya Mwendokasi kati ya Februari au Machi 2025

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mradi wa Mabasi yaendayo Kasi unatarajia kupokea Mabasi mapya kuanzia mwezi wa Pili hadi wa Tatu mwaka 2025 Akizungumza leo Januari 2, 2025 amesema "Tayari kuna Mabasi yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza...
  19. Prince Luanda

    Tumekaa zaidi saa moja tunasubiri kwenye kituo cha mwendokasi Msimbazi

    Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
  20. B

    Wahudumu wa Mwendokasi Kivukoni jirekebisheni, muwe na kauli nzuri na tafuteni tiba ya kukosa "chenji", ni kero kwa Abiria

    Pale Kivukoni sehemu ya kukatia tiketi katika Kituo cha Mwendokasi pa hovyo sana. Kwanza abiria ni wengi wanasongamana mno wanagombea tiketi. Mtu unakomaa kwenye foleni hadi unafanikiwa kufika dirishani, hapo unakuwa umepambana hasa. Sasa unafika dirishani unataka ukate tiketi fasta fasta...
Back
Top Bottom