mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ThisisDenis

    BRT Tanzania (Mwendokasi)

    Mageti ya scanning kwaajili ya kadi ni bora zaidi kuliko kutumia paper tickets? Nataka nijue changamoto za Mwendokasi na nini kinapelekea kuwepo kwa huduma mbili kwa wakati mmoja, Paper tickets na Card ? Unadhani mradi unaweza tumia scanning mashine pekee ili kuomdoa shida ya usafiri ?
  2. Roving Journalist

    LATRA CCC yakusanya maoni ya matumizi ya Kadi za Mwendokasi, una lolote? Bonyeza Link utoe ya moyoni

    Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki zinazotumika katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es...
  3. ommytk

    Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

    Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express. Tanzania bado sana aiseee Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
  4. N

    KERO AC zilizopo kwenye mabasi ya Mwendokasi zimebakia kuwa mapambo? Hazifanyi kazi, abiria tunateseka na joto

    Licha ya awali usafiri wa Mwendokasi kuvutia watu wengi lakini kwa siku za hivi karibuni abiria wengi wamekuwa wakilalamikia changamoto mbalimbali ambazo zinajitokeza kwa nyakati tofauti. Kwa kipindi kirefu kidogo (wastani wa miezi sita) niliamua kujipa jukumu la kizalendo kufuatilia suala la...
  5. Roving Journalist

    TANROADS: Tsh. Bilioni 18 zimehusisha matengenezo Miundombinu ya Mwendokasi (Ferry-Kimara, Magomeni-Morocco na Fire-Msimbazi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018. Mradi huu ni...
  6. T

    Wekeni viti vya kutosha kwenye kituo cha mwendokasi cha Fire!

    Pale kituo cha mwendokasi cha Fire kuna wagonjwa wanaoenda Hospital ya Muhimbili wanasubiri mabasi ya muhimbili, sasa natoa wito kwa serikali kuongeza viti vya kutosha kwenye kituo ili wagonjwa waweze kukaa na kusubir magari. Kama tunavyojua magari yanachelewa kufika na mgonjwa hawezi kusimama...
  7. T

    Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

    Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
  8. Leak

    Kupitia Bashungwa na Chalamila sasa Usafiri wa mwendokasi unakwenda kufa rasmi kama ilivyo Tanroads

    Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad! Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
  9. aise

    Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  10. D

    Hivi tofauti ya mwendokasi na daladala ni nini kama unawesa kulisubilia lisaa lizima kituoni?

    Hivi sisi waafrika tunawezq nini hususani watanzania? UDART inakufa afadhri kupanda daladala kuliko kupanda hizi takataka wanazoita mwendo kasi. Kutokq moroco tu mpaka kariakoo unatumia masaa matatu? Sasa dhana ya mwendokasi
  11. PureView zeiss

    Bashungwa: Barabara za mwendokasi ambazo hazijaanza kutumika, zitumike kwa magari binafsi ili kupunguza foleni

    Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
  12. steve_shemej

    Hivi Mwendokasi ndo inakaribia kufa?

    Natamani nijue hivi shirika la mwendokasi "dart" ndiyo linakaribia kufa..? Nauliza hivi kwakuwa magari yanazidi kuchoka na hayaletwi magari mbadala shirika linatoa huduma mbovu bora hata ya daradara unakuta mfano kituo cha gerezani utakuta mfano foreni ya watu wanaosubiri kwenda kimara ipo kubwa...
  13. Tabutupu

    Kwenye barabara za mwendokasi, ifungwe mitambo ya kuzalisha umeme (windpower)

    Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita.. NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo...
  14. Dear_me_

    MNAONAJE UJIO MPYA WA MABASI YA MWENDOKASI maker@scania Boarded by @marcopolo

    Siku sio nyingi katika ukurasa wa @scaniatanzania walitoa taarifa za kuhusu ujio mpya wa mabasi mapya ya mwendokasi. Upande wangu mradi utakua mzuri kama mradi utafanyika bila kuwa na mkono wa pande yoyote serikali au viongozi -kwa sasa Mabasi yatatengenezwa na scania(BRAND FROM USA), boarded...
  15. W

    Stendi ya Mawasiliano kufungwa rasmi kupisha ujenzi wa karakana ya Mwendokasi

    Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi. Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya nne. Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda na...
  16. A

    KERO Mwendokasi imesitisha huduma Kibaha na hakuna maelezo

    Mimi ni mdau mzuri wa mwendokasi kutoka Kibaha Stendi hadi mjini Posta, nimesikitishwa sana kuona huduma hii kusitishwa bila notisi wala matangazo rasmi (huenda yalikwepo ila mimi sijayaona). Kwa bahati mbaya hakuna mwenye majibu ya kuridhisha juu ya kusitishwa kwa huduma hii, natamani kusikia...
  17. hp4510

    Kadi ya kupanda Mwendokasi ni elf tano (5000)

    Sidhani kama hii ni sawa jamani Kwani haiwezekani kutoa Kadi bure? Au hata iwe elf moja kama za pantoni? Kweli ni busara kuuza Kadi Kwa elf tano? Hiyo Kadi ina mambo gani ya ziada? Wahusika waangalie hili jambo Kwa hicho la Imani
  18. Ziro Buyu

    Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  19. Waufukweni

    Utitiri wa Kadi: Kwanini tusiwe na Kadi Moja ya Huduma za Usafiri inayoweza kutumika kwenye maeneo yote?

    Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za mwendokasi, ambapo sasa bila kadi hii huwezi kufanya safari kwenye usafiri wa mwendokasi. Hii imenifikirisha...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mchengerwa: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi

    Waziri MCHENGERWA: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na...
Back
Top Bottom