mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wa Kimara nawasalimu. Muwe wavumilivu wakati mwendokasi zikiwa zinatengenezwa

    Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

    Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
  3. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Mwendokasi cha Magomeni chachomwa moto

    Maandamano yanazidi kupamba moto, unaambiwa ile ya asubuhi ilikuwa cha mtoto, watu wananchi wameongezeka maradufu wakati huu wakizidi kusonga mbele. Kituo cha mwendokasi Magomeni nacho kimeliwa kichwa, kimetiwa kiberiti na raia wanasonga. Madai ni yale yale, tunataka haki irejee nchini, sio...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kidola, kukosa kuwajibishana na Uchawa kumeua Mwendokasi na leo vimeangusha Treni; Mungu aepushe visije vikaangusha serikali

    Kingekuwa ni kitu kizuri leo kutwa yote wangeimba “AJALI YA MAMA” na tusioimba tungebezwa, tungeitwa KENGE, SISIMIZI, NYWINYWI, NYWINYWINYWI. Lakini Mungu huyu ni fundi sana, kapiga kwenye mshono na hadi tarehe 29 atapiga pigo jengine palepale kwenye mshono kama si kusugulia chumvi. Uchafu...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kuanzia Januari, 2026 kutakuwa na mageuzi makubwa ya utoaji wa huduma kwenye mwendokasi

    Samia anapenda kupita na upepo wa jambo fulani ili azipate hizo kura. ================ "Tukapomaliza barabara zote, ni fursa muhimu kwa sekta binafsi kupata kazi ya kubeba abiria na kurudisha, kazi hiyo kwa kiasi hatutaki kuifanya sisi serikali bali sekta binafsi wataingiza mabasi yao na...
  7. ERoni

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana: Mwendokasi TANO zinasubiri abiria Mbezi Mwisho

    Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule? Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi Mbagala yaanza majaribio kubeba abiria

    Hii siyo kwamba mtoto anaringishiwa nyonyo wakuu? Jana Ajira elfu 41, leo Mwendokasi Mbagala inaanza kubeba abiria kuna vimatukio flani hivi kama vya kupoza moto. === Ni rasmi mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya pili barabara ya Mbagala (Kilwa), yameanza majaribio leo, Msemaji wa Serikali...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Non tax revenue ndio chachu ya maendeleo, kushindwa kuendesha mwendokasi ni pigo kubwa sana

    Maendeleo mara nyingi sana yanaletwa na non tax revenue na sio tax revenue Hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza jibu ni non tax revenue ambazo zinajumuisha madini, mafuta & gesi, na monopoly kwenye baadhi ya huduma kama mwendokasi Mfano kwa Tanzania non-Tax revenue ni kama...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ernest Mgawe amesema alitumwa na Heche na Mange kuratibu vurugu mwendokasi

  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kulikoni tena hizi gari mpya za mwendokasi? Hatujapigwa kweli?

    Sina haja ya kuelezea sana, hali ndo kama hiyo.
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa media kutoripoti kero za wasafiri wa Mwendokasi, lakini media zote zimeripoti mabasi mapya UDART

    Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga? Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums. Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi ya private hayaoni fursa ya kusafirisha abiria wanaosumbuka na mwendokasi?

    Kutokana na hizi changamoto ambazo zinazidi kuwa kubwa za usafirishaji wa abiria kwa njia ya mwendokasi, nimewaza ni kwa nini wenye mabasi ya coaster ya private (yale yasiyo na rangi maalumu za ruti), yasichukue hizi fursa za kusafirisha abiria hawa? Maana yangu ni kwamba, chukulia wewe una...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Wananchi: Uongozi wa Mwendokasi ulioingia sasa unatakiwa kuwa makini, kwani wenzao wameshachukuliwa hatua

    Baadhi ya abiria wa mabasi yaendayo haraka maarufu kama Mwendokasi katika kituo cha Kariakoo wameeleza kuridhishwa na mwenendo wa mabasi hayo kwa siku mbili zilizopita tangu ujio wa mabasi mapya. Hata hivyo, wamrmetoa tahadhari kwa viongozi wapya walioteuliwa kuongoza mradi huo kuhakikisha...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Vijengwe vituo vya maegesho ya magari madogo, Wananchi wote watumie Mwendokasi kuingia mjini

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kusimamia kaunzishwa na kujenga vituo vya maegesho ya Magari ili Wananchi wote watumie Mwendokasi kuingia mjini. Majaliwa ametoa rai hiyo wakati akikagua Huduma za...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Kafulila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa mabasi yaendayo Haraka (DART)

    Wananchi kutesti mitambo kidogo jana kwenye mwendokasi! Samia kaone hee hali isiwe mbaya sana akafanya maamuzi ya kutengua viongozi waliopo na kuwateuwa wapya. Lakini kufanya hivi ndio kufanya suluhu kwamba changamoto itamalizika katika usafiri wa mwendokasi? Wakati naona kama ishu nzima ni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magomeni: Vurugu zazuka, ofisi ya mabasi ya mwendo kasi yavamiwa na kupelekea kuvunjwa vioo

    Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni hiyo. Fujo zimezuka usiku huu, polisi Bado hawajafika Wanasiasa endeleeni kujidanganya ati...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 ni maandamano, Je, Serikali haikuona taabu za mwendokasi mpaka kipindi cha uchaguzi kuja na danganya toto?

    Taabu za mwendokasi hazijaanza jana wala leo, Mabasi mapya yaliyonunuliwa na CCM yangesaidia kupunguza adha hii, Je, mabasi hayo yanafaida gani kwa watanzania, What are they for? Ni ubinafsi wa hali ya juu na inaondoa dhana kwamba CCM ipo kwa ajili ya kukomboa taifa. TUKUTANE BARABARANI 29 OKTOBA
  20. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
Back
Top Bottom