mwema

Mwema(Tarime) is a ward in Tarime District, Mara Region of northern Tanzania, East Africa. According to 2012 Census, the population of the ward was 10,204.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  2. Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

    Kama tunaamini kabisa kuwa mke mwema anatoka kwa Bwana iweje huyo aliyetoka kwa Bwana asiwe na bikira yake? Ni nani huyo aliyeitoa bikira yake? Hapa utamkuta mlokole na mshika dini anakuambia Mke mwema anatoka kwa Mungu na huyo mke wake hana bikira inawezekana vipi ndg zangu? Ebu tuweni na...
  3. Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  4. Mshikamano: Tuwatakie ndugu zetu mfungo mwema

    Mwezi umeandamana! Hapo zamani lilikuwa ni tukio kubwa sana.. Maendeleo ya tech na siasa za dunia yamefubaza vingi Huu ni mwezi wa toba, kujitafakari na kuwa karibu zaidi na Mola Hizi funga za dini mbili huwa kuna wakati zinaenda pamoja. Kwa mfano Leo ni Jumatano ya majivu kwa Wakristo...
  5. Kuwa Mwema isikufanye usitumie Akili

    KUWA MWEMA ISIKUFANYE USITUMIE AKILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wema usio na akili ni uovu. Ni upumbavu. 2. Unapomfundisha mtoto wako mambo Mema yaani kuwa Mwema usiache kumfundisha kutumia Akili katika Wema Wake. 3. Elewa watu wema wasiotumia akili ndio huonewa na kutumika vibaya...
  6. Ujumbe kwa Watanzania. Nawatakia Usiku Mwema

    Hadharani una furaha, sirini unalia. Hadharani ni maarufu, sirini ni mpweke. Hadharani ni jasiri, sirini mnyonge. Hadharani una hekima, sirini ni mjinga. Hadharani ni mwema, sirini ni mwovu. Hadharani ni mcha Mungu, sirini ni mshirikina. Hadharani umeridhika, sirini una roho mbaya. Hadharani una...
  7. K

    Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake

    Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake. Kesho CNN wanatoa report yao ya mauaji Dunia nzima. Je ni nani atawapa viza, nani atawapa kazi za kimataifa na mtabaki kuonekana ni machawa na kuvunja heshima zetu mlizojenga kwa muda mrefu
  8. Kijiji chote cha Mji Mwema - Siha kijiji chatoka kuwasha taa ya Dkt. Samia

    Kijiji cha Mji Mwema wilayani Siha kimewaka kwa hamasa baada ya wananchi kuwasha taa za Dkt. Samia mara baada ya kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin. Katika mkutano huo wa kampeni, Dkt. Godwin aliwaeleza wananchi kuhusu kazi kubwa na mafanikio...
  9. E

    Huyu hakuwa raia mwema, haiwezekani umpige askari kwa teke na ngumi

  10. Uwe raia mwema au mtu wa madili, Epuka mazoea na askari

    Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao...
  11. C

    Mungu ni mwema

    tusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
  12. P

    Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

    Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
  13. U

    Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
  14. J

    Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia. Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Mabadiriko haya ni ya Kimkakati zaidi kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  15. Z

    Kwa hali ilivyo ,tungehairisha Uchaguzi kwa mstakabali mwema wa taifa letu.

    Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote. Wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE, Wananchi hawa wanaweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha. La pili ni kwamba wapinzani wa...
  16. D

    Wema wanakufa. Wabaya wanakufa. Sasa niwe mwema ama m-baya ndani ya jamii?? Wema una faida gani??

    Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram. Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu mwema kwa maana wema wanakufa na wabaya pia wanakufa. At least labda ingekuwa wema wanaishi muda...
  17. Abtali Mwerevu, Mtu mwema, Makini na Mwaminifu Kupitiliza

    Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni JamiiForums. Mara zote nilipoingia, nilikuta habari za watu wengine mpaka hii leo nilipoingia na kukuta tuhuma...
  18. Natafuta mke mwema

    Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo hapa duniani hivyo basi nakuja mbele zenu kwenye jukwaa hili ambalo limejaa waungwana na watu...
  19. Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani. Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu Pia niweke...
  20. Ni kitu gani kifanyike ili amani ya DRC Congo??

    Katika kipindi cha zaid ya miongo 3 tumeshuhudia Amani ya DRC haijawahi kuwa na Amani iliyotulia,lakini kama mnakumbuka DRC ni miongoni mwanchi zilizojiunga na EAC na baadae akapata uanachama baada ya kukidhi vigezo,sasa kama mwanachama mwenza ni lazima tujadili amani ya DRC kwa sababu ni sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…