mwema

Mwema(Tarime) is a ward in Tarime District, Mara Region of northern Tanzania, East Africa. According to 2012 Census, the population of the ward was 10,204.

View More On Wikipedia.org
  1. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume huu ndio mgawanyo wa wanaume kulingana umri waolionao na hulka walizonazo katika mahusiano

    1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara nyingi zinatoka kwa wazazi sio zao (hawajazitesekea) lakini wanaume waliko mjini kwa 20-27 wengi ni...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  3. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Usiku mwema wapendwa/Kazi njema wapendwa

    Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊 Tunaolala,basi na tulale salama. Kazi njema wana JF Usiku mwema wanaJF!🙏
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vyakula vya njian hasa safari ndefu

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi Alipofika Mombo akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Baadae Akaomba na...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tuombe mwisho mwema ndugu zangu

    Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo.. Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo... Unamuona mweupe na mweusi hapo? Umemuona handsome hapo? Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo? Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo?? Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo? SHORTLY Huna uzuri wowote, huna elimu...
  7. Jack Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke bora na heshima kwa mwanaume

    Ni ukweli usiopingika mwanamke mzuri wa sura na umbile ni ndoto ya kila mwanaume,tena akiwa smart kichwani na elimu kwa mbali ndiyo kabisa. 1. Unajiamini kumtambulisha popote na kwa yeyote huku ukikenua meno yote na kujipiga kifua kwakuwa upo na mtu unayempenda kwa dhati na unaweza kuambatana...
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Mwema sana

    Tunapaswa Kumshukuru Mungu kwa Wema anaotundea wakati wote. Nasema hivi kwa sababu kuna wakati unaweza kukutana na Jambo gumu sana.Lakini Mungu akafungua njia. Mungu ni wa yale yaliyoshindikana kibinadamu.
  9. steve_shemej

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

    Ok
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi huyu ni nani?

    Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
  11. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Mungu sio mwema

    Nina hoja ningependekeza kuileta mbele yenu wanajamvi.. Kama kichwa na habari kinavyojieleza "Mungu sio mwema" Je ni kwanini ninasema haya. Zingatia hili, katika mafundisho yote ya kiimani tunafundishwa kumchukia shetani na mabaya yake yote ili tumpokee kristu, ni kweli Jamaa ni muovu, wewe...
  12. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana acha kujifanya mtenda mwema kwenye maisha ya watu hao wanakuzunguka hakuna anayekuwazia mema

    Acha kujifanya mtenda mwema katika maisha ya watu hao wanaokuzunguka hakuna anayekuwazia mema huu ni ukweli japo ni mchungu...... Maisha tuliofikia hivi sasa watu wanaotuzunguka maeneo ya makazini, mtaani,majumbani ambao tunawaona kama ndugu,jamaa,mashemeji au marafiki hakuna anayekuwazia mema...
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Diwani Selungwi asema SHIMWATA ni mgeni mwema Mkuranga

    Diwani wa Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, Rashid Selungwi ameumwagia sifa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIMWATA) kuwa ni wageni wema Kijijini Mwanzega, zilipo nyumba za Wasanii, wanamichezo na Waandishi wa Habari. Wema wa Shiwata kijini hapo ni kuendeleza maendeleo ya jamii na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Good Samaritan (msamalia mwema) ni muhimu ili kuwaokoa majeruhi

    TANZANIA TUNAHITAJI SHERIA YA MSAMARIA MWEMA ILI KUWAOKOA MAJERUHI Ndugu Viongozi wetu Imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema au kwa kiingereza Good Samaritan Law. Sheria hii itawezesha kuokoa maisha ya watu wengi waliojeruhiwa, hasa na ajali za barabarani tofauti na...
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

    Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema. Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa: 1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material. 2. Mwanamke...
  16. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto. Dua ZENU wadau ndio...
  17. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana alinitumia meseji ya usiku mwema sawa moja jioni.

    Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani. Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
  18. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kuomba sana, kuwa mwema sana sio sababu ya Mungu kukubariki

    Ukiangalia kwenye maisha kuna watu hawana habari na Mungu hata kidogo na wanamaisha mazuri biashara zao zinazidi kukua kila uchwao mfano mzuri ni wana-science wako mstari wa mbele kumpinga Mungu ila kila siku wanazidi kuvumbua vitu Njoo kwa sisi ambao tunaomba kila siku wengi wetu maisha yetu...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

    Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi. Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii...
  20. sonofobia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumia hii Sala ya kuomba Mchumba Mwema: Utapata matokeo mazuri na utanishukuru

    Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote. Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso...
Back
Top Bottom