Yesu akamwambia, mbona unaniita mwema?

Yesu akamwambia, mbona unaniita mwema?

sepema

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
659
Reaction score
1,101
Amani ya Bwana iwe juu yenu. Leo katika kusoma soma biblia nimekutana na maneno hayo hapo juu yakanitatiza kidogo. Nikutoka kitabu cha Luka 18:18-19.

Natamani kujua kuwa Yesu alijipima kwenye mambo gani akajiona hata yeye sio mwema zaidi ya Mungu?.

Tunajua aliishi maisha ya kibinadamu hapa duniani, sasa ni mapungufu gani(dhambi)alikuwa nayo labda katika kuwaza,kunena na kutenda mpaka mwenyewe akagoma kuitwa mwema?

1784457727701.Screenshot_20260719-134120.png
 
Yesu hakukataa kuitwa mwema.

BAli alikuwa anamfundisha huyo mtawala kuwa yeye (Yesu) ndiye Mungu.
 
Amani ya Bwana iwe juu yenu. Leo katika kusoma soma biblia nimekutana na maneno hayo hapo juu yakanitatiza kidogo. Nikutoka kitabu cha Luka 18:18-19. Natamani kujua kuwa Yesu alijipima kwenye mambo gani akajiona hata yeye sio mwema zaidi ya Mungu?. Tunajua aliishi maisha ya kibinadamu hapa duniani, sasa ni mapungufu gani(dhambi)alikuwa nayo labda katika kuwaza,kunena na kutenda mpaka mwenyewe akagoma kuitwa mwema?View attachment 3632577
"tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina" - Flp 2:8-9.

Mistari hiyo inajibu hoja yako.
 
Amani ya Bwana iwe juu yenu. Leo katika kusoma soma biblia nimekutana na maneno hayo hapo juu yakanitatiza kidogo. Nikutoka kitabu cha Luka 18:18-19. Natamani kujua kuwa Yesu alijipima kwenye mambo gani akajiona hata yeye sio mwema zaidi ya Mungu?. Tunajua aliishi maisha ya kibinadamu hapa duniani, sasa ni mapungufu gani(dhambi)alikuwa nayo labda katika kuwaza,kunena na kutenda mpaka mwenyewe akagoma kuitwa mwema?View attachment 3632577
Kama umesoma vizuri hajakataa kusema yeye sio mwema, ila kamuuliza kwa nini unaniita mwema? Kama alijiona yeye sio mwema asingejisema kuwa yeye ni mchungaji mwema.

Yohana 10:11
[11]Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
 
Mh!
 
Back
Top Bottom