mwelekeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa mchakato wa usaili wa walimu Sekretarieti ya Ajira: Je, nini kinaendelea?

    Na Josephat H Interview And Carrer Coach +255656480968 Dar Es Salaaam, Tanzania 👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Sekretariate ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Hadi sasa, hakuna taarifa...
  2. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa mchakato wa usaili wa Walimu Sekretariate ya ajira: je, nini kinaendelea?

    MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA? Na Josephat H Interview And Carrer Coach +255656480968 Dar Es Salaaam, Tanzania 👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na vyama vingine chukueni mwelekeo huu haraka kabla ya uchaguzi, mtanishukuru baadaye!

    Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania. Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  5. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Shule zenye ubora ni gharama lakini muhimu sana

    Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika kupitia FOCAC umekuwa na mwelekeo endelevu

    Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

    nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya mchungaji - Anna unamjua Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu Mchungaji - Ania unajuma...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi

    Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi Kadiri siku zinavyokwenda idadi ya watoto wa mtaani inazidi kuongezeka. Ongezeko lao linatishia mustakabali wa nchi kwa sababu ndani ya watoto wa mitaani, ndipo vikundi vya kihalifu huibuka kama vile pangaboy na panyaroad. Kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni tatizo au Serikali imekosa mwelekeo?

    Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa. Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya serikali iamini kwamba wao ni mabosi wa mahakama. Mahakama imetuhumiwa kutotenda haki, imetuhumiwa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nini haswa ndio hisani ya mwelekeo wa maisha yako?

    Je ni; 1: Juhudi, Maamuzi na Muda 2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa) 3: Bahati (ngekewa) 4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa) 5: Mapenzi na Kibali cha Mungu 6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu. 7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako Karibuni
  11. Berlin

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mwelekeo wa Tanzania: Elimu na Afya Kwa Kizazi Kijacho

    Tanzania ya leo inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta za elimu na afya. Hata hivyo, tunapaswa kuangalia mbele kwa mtazamo wa kipekee na kufikiria mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko ya kweli na endelevu katika maisha ya Watanzania. Elimu Bora Kwa Kila Mtoto: • Kujenga...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

    Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki. Wakajaribu...
  13. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ukristo Marekani umekosa Mwelekeo

    Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa. Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake...
  14. YEHOVA

    JamiiForums Tanzania Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Hakuna kama Yehova, 1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani, 2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100% 3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vita Gaza katika mwelekeo mwema, busara inapoanza kurejea

    Vita vya nini kama mazungumzo yanaweza kuzaa mapatano yenye tija? 1. Ama kweli amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga: 2. Kwamba Israel kwenye hasira kali na pepo la kisasi na mtafaruku ule Oct 7, wameuwa wengi wakiwamo wasiokuwa na hatia? 2. Kwamba wameuwa hadi raia (wakiwamo wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania

    Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu 1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi...
  17. GodfreyTara

    JamiiForums Tanzania Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa baadaye

    .Mradi wa Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye. Utangulizi: Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata umaarufu katika sayansi na viwanda kwa zaidi ya karne moja. Lakini, je, wewe unajua kwanini gesi hii...
  18. GodfreyTara

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG Tanzania: Fursa, Changamoto na Mwelekeo wake

    Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi . Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa kuanzisha Mradi wa Tanzania Liquefied Natural Gas (LNG). Mradi huu una lengo la kuchakata gesi...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM iko kwenye Autopilot, mwelekeo wake unatuchanganya!

    CCM ndiyo chama chetu kinachotuelekeza kwenye dira ya kisiasa nchini, tukiweka maanani matamanio ya wananchi waliowengi. Hadi sasa ndimi za watu wengi hazijapumzika kuzungumzia suala la Bandari na DP World. Leo nimekutana na rafiki yangu, kada, wa siku nyingi, na amewahi kuwa mbunge wa CCM...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Maridhiano Ukitimiza Mwaka Mmoja

    Mazungumzo ya maridhiano kati ya CCM na CHADEMA yalipokewa vizuri na wapenda demokrasia nchini kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan aliamua kuwasikiliza Chadema waliosusia na kuona haja ya vyama hivyo kukaa meza moja kuzungumza. Rais Samia kwa mara ya kwanza, alikutana na Mbowe Machi 4, 2022...
Back
Top Bottom