Nini haswa ndio hisani ya mwelekeo wa maisha yako?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,397
4,260
Je ni;
1: Juhudi, Maamuzi na Muda

2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa)

3: Bahati (ngekewa)

4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa)

5: Mapenzi na Kibali cha Mungu

6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu.

7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako

Karibuni
 
Kati ya watu wenye bahati katika hii Dunia na Mimi ni miongoni mwao. Mpaka Huwa najishangaa mwenyewe
 
Wengi ni namba 1.
Juhudi zako binafsi…
Maamuzi magumu maybe kwa interns mpk ibadilike from intern to muajiriwa.
Muda.. wakati sahihi wa Mungu umefika amekufanyizia.
 
mwenye Kujua namna ya kudeal na No 6 atuambie
IMG-20240506-WA0005.jpg

Tafuta hicho kitabu kuna sala ya siku 21 ya toba ya vizazi na maelekezo. Kimewasaidia wengi.
 
Nothing in life is promised. Ishi bila matarajio hizo zote ni man made beliefs, usiamini sana ila jaribu kuwa na balance. Kila kitu kina manufaa na madhara pia
 
Back
Top Bottom