Ukristo Marekani umekosa Mwelekeo

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,578
19,463
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.

Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake zianendeshwa kama zile za Kiluteri nilikotokea. Isipokuwa niliacha tena kwenda kanisani kwani kila mara sehemu kubwa ya mahubiri yao ni kuhimiza watu kuchagua republican tu.

Baada ya kuhudhuria kwa muda mrefu kanisa hilo, niliggundua kuwa hata mapadri walikuwa na ubaguzi fulani dhidi ya watu weusi. Sasa ukienda kwenye hao Evangelicals, ndiko utakuta wanalofahamu ni kuwa Marekani ni nchi ya weupe tu, wengine wote ni haramu.

Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.

 
Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.

Easy-to-read, large print, and slim design, this Bible invites you to explore God’s Word anywhere, any time. This bible has been designed so that it delivers an easy reading experience in the trusted King James Version translation. This large print Bible will be perfect to take to church, a bible study, work, travel, etc.


Sijaelewa hoja yako
 

Easy-to-read, large print, and slim design, this Bible invites you to explore God’s Word anywhere, any time. This bible has been designed so that it delivers an easy reading experience in the trusted King James Version translation. This large print Bible will be perfect to take to church, a bible study, work, travel, etc.


Sijaelewa hoja yako
Kutumia dini kwenye siasa ni kujenga mbomoko kwenye jamii. Kazi ya dini ni kjenga jamii siyo kugawanya jamii
 
Mimi kinanishangaza mtu muislam ku-pretend kuwa Mkristo ili kujenga hoja zisizokuwa na mashiko.

Uliyeleta hii mada umejifanya unaishi America kumbe upo zako hapo Mbande ila ulichoandika hapa umehadithiwa na jamaa yako aliyewahi kuishi huko lakini ukaona uongeze na verse kwamba ulikuwa unasali Kanisa fulani ili uaminike.

Zipo njia nyingi za kueneza imani yako watu wakaielewa siyo lazima uwe muongo muongo mjanja mjanja mwisho hata imani yako inaonekana ya kijanja janja.
 
Wakristo gani wanaojieneza kwa kupinga Islam wakati uislam umekuja miaka 600's baada ya Ukristo? Wapi umeona Ukristo unajieneza kwa kupinga uislam? Unatupotosha wewe maamuma naona swaumu inakupelekesha.
Huyo hata akisema uwongo alimradi anaamini dini itakua zaidi alaah atamzawadia pepo,huko kusema uwongo dini iwe na wafuasi wengi huwa siyo tatizo hata kitabu chao kimewaelekeza hilo.
 
Kwamba kuna ukristo unaenea kwa kukashifu uislam😄😄.

Nyie watu mkishiba futari mnakuwa na ufala sana.huko marekani mnagejua kuna waislam wa aina gani,mngewakataa,mtu kama tate ama tyson ni aina ya waislam wa kimarekani,wanaamini uislam ni kama harakati fulani.
 
Dini ni ishu ya utamaduni.
Ukristo na waafrika wapi na wapi?
Uislamu na uafrika wapi na wapi?

Ninyi waafrika ndio mnajua sana kujipendekeza kwenye mambo yasiyowahusu.

Ukristo ni Uzungu
Uyahudi ni kwa waisraeli
Uislamu ni kwaarabu
Uhindu ni kwa Wahindi
Ubudha ni kwa wachina.

Ninyi mnakiherehere
Mkuu sio kweli kwa sababu hata hao waarabu na wazungu na Wao dini waliletewa kama waafrika walivyo letewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom