mwelekeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fight ClimateChange

    JamiiForums Tanzania Najibu hoja za ndugu Humphrey Polepole kuhusu mwelekeo mpya wa nchi yetu

    Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu. Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60. Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
  2. Magalu Empire

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mwelekeo sahihi wa maendeleo Tanzania

    MWELEKEO SAHIHI WA MAENDELEO YA TANZANIA Maendeleo ni mchakato unaounda ukuaji, azimio, mabadiliko chanya, kupiga hatua, uchumi, mazingira, kijamii na idadi ya watu. Kusudi la maendeleo ni kupanda kwa kiwango na ubora wa maisha ya watu pamoja na upanuzi wa mapato ya jumla na fursa za ajira bira...
  3. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kubadili Mwelekeo ni Katika Njia ya Kufikia Mafanikio, Using'ang'ane na Ulichonacho

    Katika maisha kuhangaika ni jambo la kawaida bila kujali wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mwanasiasa, mtumishi wa uma, mvuvi, msanii au mwanasanaa, fundi nk. Kila mmoja ana jambo ambalo linamshugulisha ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku. Kupitia shuguli hizo baadhi yetu hupata...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 Tanzania: Mwelekeo mzuri, bado safari ni ndefu

    Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kama jamii, tuwajenge watoto wetu wawe na mwelekeo wa maisha tangu wakiwa wadogo

    Nilikutana na mhandisi kutoka Iran, amepata scholarship ya kusoma shahada ya uzamili Ulaya. Katka maongezi yetu nilimuuliza ni kwanini madaktari na wahandisi wengi wanatoka Iran, Syria Egypt nk? Alinijibu kuwa katika jamii yao wamejengwa kufikia hapo. Yaani ukiwa na familia tangu watoto...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta Tanzania lakutana na Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania

    SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA. Mwandishi wetu, Dar es salaam Leo 29 Julai, 2021. Shirika la Posta Tanzania likiongozwa na Kaimu Postamasta Mkuu Ndugu Macrice Daniel Mbodo limefanya Mkutano na Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania lengo ni kuwaeleza...
Back
Top Bottom