mwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji tafadhali Simba SC ikirejea agiza lile 'Tambiko' letu alilotuachia Marehemu Mzee 'Bamchawi' lifanyike kwa Viongozi na Wachezaji

    Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tatizo la kukatika umeme limemkimbiza mwekezaji wa kiwanda cha nguo Simiyu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameeleza bayana kuwa tatizo la kukatika kwa umeme kwa Mkoa wa Simiyu kumesababisha mwekezaji wa Kiwanda cha nguo kinachotumia malighafi ya pamba kushindwa kuwekeza katika Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa alikuwa akitoa maelezo hayo kwa Waziri wa Nishati, Januari...
  4. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Endelea kuwatafuta mama lakini!!! Ni mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi iliyojaa uhalifu kila kukicha na umeme usio na uhakika?

    Nimeshuhudia matukio ma4 ya uhalifu ndani ya wiki moja. 1. Ndugu yangu kabisa kavunjiwa duka wezi wamekuja na gari wamezoa kila kitu (Tahadhari: kama una biashara ya vinywaji usilaze friji nje usiku likifanya kazi, wahalifu wanatumia umeme huo kukata milango na kofuli) 2. Ndugu ya jirani yangu...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Askari anayemlinda mwekezaji adaiwa kumuua kijana kwa risasi, wananchi wamlilia Rais Samia

    Mkazi mmoja wa Kitongoji cha Mwamala, Kijiji cha Igumanghobo, Kata ya Idukilo Mkoani Shinyanga aliyekuwa akichimba madini katika Kijiji cha Mwang’holo, Kata ya Mwadui Lohumbo anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi wanaolinda eneo la Mwekezaji Kampuni ya El-Hillal Minerals Ltd...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro utafutiwe Mwekezaji ili mapato yaongezeke

    Kwa sasa Mlima Kilimanjaro ni kama unapeform chini ya kiwango kwa sababu mapato yanayopatikana kwa mwaka hayaendani kabisa na hadhi ya mlima huo duniani Ni vema akatafutwa mwekezaji mwenye uzoefu akaja kutuendeshea mlima huu mrefu kabisa barani Afrika na duniani pia. Maendeleo hayana vyama!
  7. Akili zangu hazipo sawa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji tunaeweza fanya biashara pamoja kwenye idea yangu ya bidhaa 6 awepo Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇 Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
  8. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  9. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mwenza anahitajika: Pata Faida ya Laki 5 kila mwezi

    Wadau, Niko kwenye hatua ya mwisho za kuanza mradi wa biashara ya Mboga Mboga, hii ni baada ya kufanya utafiti na majaribio kwa muda wa miezi 6 na kuwa na uhakika wa uwepo wa soko la Mboga Mboga( kwa jumla) katika eneo la Bunju B, Dar es salaam. Naitafuta mwekezaje mwenza(Partner) atakaewekeza...
  11. Jay Milionea

    JamiiForums Tanzania TRA yafafanua kuhusu suala la Mwekezaji wa Kilimanjaro

  12. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

    Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo. Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!! Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  14. aleesha

    JamiiForums Tanzania Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

    Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo. Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo...
  15. msovero

    JamiiForums Tanzania Bilioni 20 alizotoa mwekezaji MO Dewji kwenye club ya simba ni changa la macho?

    Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja mkubwa kuhusu bilioni 20 alizotoa mwekezaji Mo Dewji katika club yake hiyo ya simba. Kama...
  16. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, mwekezaji anaruhusiwa kununua ardhi kwa wananchi au sheria ni utwaaaji?

    Habari wadau, Wajuzi wa sheria naomba mnipe vifungu vinavyoruhusu mwekezaji kuruhusiwa kununua mwananchi mmoja mmoja na kuwaondoa kijiji kizima kwa muda usiotabirika (Buyer to Seller). Binafsi natambua kwamba mwekezaji akiitaji ardhi ya wananchi anapaswa kulitwaa na kuwaondoa wote kwa pamoja...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji mwenye compressor

    Mimi ni mchimbaji mdogo nipo na eneo la uchimbaji tatizo ni vitendea kazi,natafuta mtu mwenye kuweka compressor tu kwa ajili ya uchimbaji. Nitamlatia shares,Kama na Kuna mwenye kuweza kupata ball mill(crusher pia)karibuni
  18. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chuma kimepanda bei duniani, lazima mazungumzo na wawekezaji yaanze haraka

    “Kuhusu Mchuchuma na Liganga nimeshatoa maelekezo, Serikali inaendelea na mazungumzo na Wawekezaji kuona tatizo ni nini!, Serikali inaweza kujitoa hadi wapi Mwekezaji ajitoe hadi wapi na kwa sasa Duniani chuma imepanda bei ni wakati wa kuharakisha mradi ufanye kazi” - Rais Samia Suluhu Hassan...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Junior Kasanga na raia wa China, wakamatwa wakitorosha dhahabu waliyochimba

    Mkuu wa wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya na kamati yake ya usalama wamemkamata mwekezaji Mtanzania Junior Kasanga akishirikiana na watu wengine wakiwemo raia kutoka nchini China wakitorosha madini ya dhahabu waliyochimba kwenye mgodi uliopo kijiji cha Isyanga wilayani humo. -- Serikali wilayani...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi asaini Mkataba wa kusimamia Masuala ya Logistics za kampuni ya Wachina

    Hii ndio Taarifa ambayo Mwekezaji Mzalendo Ndugu Mbilinyi ameisambaza kwa vyombo vya habari vya ndani na Nje ya Nchi , wakati akitia Saini Mkataba huo wa kusimamia masuala ya Logistics mbele ya jopo la Wanasheria wake wa Kimataifa na washauri wake wa masuala ya biashara Mjini Iringa Sugu...
Back
Top Bottom