Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
Habari wakuu,
Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
Hello bosses and rosses...
Leo nmekaa mahala fln nikakumbuka pilikapilika za COVID-19. Kipindi hicho yalitokea mengi sana kwenye historia ya uchumi wa dunia, likiwemo lile ya bei ya mafuta ghafi(crude oil) kufikia zero hadi negative. Hapa nchini kwetu nakumbuka the rate Magufuli (RIP) alipeleka...
Habari wakuu,
Nimerudi kwenu kwa mara nyingine tena. Mwaka juzi (2021), nilikuja hapa kwenye jukwaa na kutafuta business partner ambaye atakuwa tayari kuwekeza kwenye Machine shop. Hii kwa maana ya kwamba mimi nitawekeza kwenye Ujuzi & Marketing na yeye atawekeza kwenye ununuzi wa machines...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida.
"Nimezungumza nao wawekezaji wanasema wanakwamishwa na wizara husika, watu wasikwamishe miradi ambayo iko wazi Rais...
Kwanza kabisa siungi mkono utaratibu wa kukatana kwa kusafirisha mzigo ni utaratibu mgumu sana.
Huu ni mkopo pia lakini usioeleweka kabisa, maana marejesho ni kukatana kwenye mizigo utafikiria biashara ya michele kule Mbeya.
Bora serikali ichukue mkopo kutoka kwake wawe na time frame ya kulipa...
Huwa naziona jitihada nyingi za raisi Samia kubembeleza wawekezaji kuja kuwekeza nchini, hadi namuonea huruma kwa sababu naelewa anapigia debe kitu ambacho sio rahisi kufanikiwa. Napenda kumwambia Raisi Samia kwamba wawekezaji hawavutwi au kushawishiwa kwenda kuwekeza kwenye nchi fulani, huwa...
Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali mbali ndani ya klabu kuwa ana dharau na ni mbinafsi, kauli za manara dhidi yake zimetimia leo na...
Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21 October 2015 kampuni ya The Swedish international Agency ilijitoa kwenye uwekezaji wa mradi wa...
Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo akapotea, akawa anaonekana kwenye matukio machache ya klabu, ni kama aliamua 'kukata waya' na kuendelea na...
Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote na kudai kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia muwekezaji binafsi kupata huduma hiyo.
Malalamiko hayo...
Mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara na mwekezaji mzawa wa mkoa wa Shinyanga Hillal Hamad maarufu kwa jina la Phantom, yamefanyika leo Jumanne tarehe 04,10,2022, kwenye makaburi ya Waislamu yaliyopo Nguzonane katika Manispaa ya Shinyanga.
Mazishi ya Mwekezaji huyo ambaye pia alikuwa ni kada wa...
Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu.
Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika.
Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.
Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur).
Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesitisha ukodishaji wa ardhi iliyotolewa kwa kampuni ya Pennyroyal Limited ya Uingereza ya Pennyroyal Limited ya Matemwe, mwendelezaji huyo ametangaza.
Ardhi inayozungumziwa ilikuwa hekta 411 ambapo mradi wa mapumziko wa Blue Amber ulikuwa unaendelea...
Mwekezaji Mzawa wa Kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme cha TAWOODS, Peter Mwera amelazimika kufunga kiwanda chake baada ya kupata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na kukosa huduma ya umeme.
Chanzo: Gazeti la Sauti ya Mara
Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth Stegmaier ambaye ni Raia wa Ujerumani na chama cha ushirika cha Uduru umeingia sura mpya baada ya pande zote mbili za mgogoro huo kukimbilia mahakamani.
=======
Moshi. Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth...
Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji.
Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa.
Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa
NB. Kwenye suala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.