mwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

    Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji. Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji

    Habari, Mimi ni kijana wa kitanzania, ninaishi DSM.. ninajishughulisha na kazi za usanidi wa mifumo ya kompyuta (computer programming). Kampuni yangu mpya inaitwa sari technologies LTD. Je, umeshawahi kusahau documents zako au mzigo wako wa muhimu sehemu..? Je, umeshawahi kutaka kumtumia mtu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

    Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili. Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao...
  4. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
  5. iKiki93

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji / angel investor

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mjasiriamali. Na natafuta mwekezaji ama angel investor kwa ajili ya biashara ya mgahawa wa burger jijini Dodoma.
  6. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Mpango wa mwekezaji binafsi mwendokasi bado upo?

    Hivi ule mpango wa kupata mwekezaji mpya kwenye mwendokasi - BRT umefikia wapi, maana tuliambiwa kama si mwezi wa nane au kumi na mbili kungekuwa na mwekezaji mwingine.
  7. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kataka mwekezaji Mtwara arudishiwe hela alizonunulia Transfoma. Nami TANESCO wanirudishie gharama zangu

    Katika hali ya kufurahisha na Rais wetu kuendelea kuwatendea wananchi wake haki, Mh. Dr. John Joseph Magufuli amelitaka shirika la Umeme nchini (TANESCO) kumlipa Tsh. 27 Million mwekezaji wa kiwanda cha kubangua korosho kilichopo Mtwara vijijini Hata baada ya kutompa ushirikiano wa kumfikishia...
  8. Transistor

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anahitajika katika project hii

    TAA ZA KUCHAJI KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA ZA USIKU. Hizi ni taa zinazo faa kwa matumizi aina zote yanayo hitaji mwanga mkali kwa muda mrefu.Vijijini na Mijini. SIFA ZA KIMATUMIZI YA TAA HIZI. 1.Ikiwa full charge inauwezo wa kuwaka masaa 8 (full light),bila kuchaji simu,na masaa 6 (full...
Back
Top Bottom