Mlima Kilimanjaro utafutiwe Mwekezaji ili mapato yaongezeke

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,727
141,592
Kwa sasa Mlima Kilimanjaro ni kama unapeform chini ya kiwango kwa sababu mapato yanayopatikana kwa mwaka hayaendani kabisa na hadhi ya mlima huo duniani

Ni vema akatafutwa mwekezaji mwenye uzoefu akaja kutuendeshea mlima huu mrefu kabisa barani Afrika na duniani pia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kila kitu wawekezaji, ni lini tutawekeza wenyewe. Mwishowe tutawatafutia hata wake zetu wawekezaji. Nasikia sehemu fulani kule Kilimanjaro wanaume wamekunywa gongo kiasi cha kuwanyima wake zao haki za msingi wa ndoa na kushindwa kuwapa mimba. Sasa hivi kuna wawekezaji toka nchi jirani ndiyo hutoa huduma hiyo ikiwa ni pamoja na kuwapa mimba!
 
Africa nzima utalii umeadhiriwa na janga la covid 19, so kushuka kwa mapato ni matokeo ya athari ya janga la uviko 19

Wageni ambao ni wazungu ambao kwa kiasi kikubwa ndio wanachangia tozo kubwa zaidi wamepungua
 
Laiti waasisi wa taifa hili wangekuwepo na wakusikie, walahi vile ungeota sugu makalioni!

Fikra za kuwapa wageni kila kitu zinatoka wapi? Nyerere alikuwa na hekima ya kuona mbali aliposema "bora wajukuu waje watumie".

Hivi mfano tu wa madini zile sheria kumpa mtu miaka kadhaa aendelee kuchimba hadi atakaposema amepata madini....tutamani tufanye wenyewe kama serikali na kampuni za wazawa
 
Kwa hii mikataba ya Trl. 17, si ajabu mmeshauza .
Hii mikataba na waarabu inahitaji umakini isijekuwa ndio nchi inatatuliwa.
 
Ccm Ni Janga Nchi Hii
Mwekezaji Awekeze Nini Wakati KINAPA Ipo
Pia ikumbukwe, mikakati ya kuua kiuchumi mikoa ya Kaskazini ilichangia hasa awamu ya Tano. Mikoa ya Arusha,Manyara na Kilimanjaro ilipangiwa Wakuu wa Mikoa wasio wabunifu,. Hadi leo,ni yaleyale. Tukumbuke Mrisho Gambo, A Mnyeti, na sasa kina Makongoro. na wengine.

Ukimsikia mtu kama Kingai wa Kilimanjaro ni kama mtu alipewa fadhila fulani hivi!

Sioni sababu ya msingi nje ya ubunifu hafifu na hujuma Mlima Kilimanjaro ukose mapato eti utafhtiwe muwekezaji wa nje! Ni aibu.
 
Kwanini wewe usiende ukawekeza kama umeiona fursa hapo? Au kwanini wewe usitafute mwekezaji ungoje wengine wafanye?

Unaiona keki ipo juu ya meza nyumbani kwako, unasema "tafuteniwatu waje wajikatie wachukue mapande wale"! Si uanze wewe kujikatia hiyo keki a ile yote. khaa! mawazo mengine ya kijuha sana.

Huo ndio uvivu wenyewe wa kifikra na kivitendo.

Kama ulikuwa huelewi watu wanawekeza kila namna huko, kila wanaoiona fursa na wasio na uvivu kama ulionao wamewekeza huko na wanaendelea kuwekeza, wewe baki na "atafutwe mwekezaji". Nani akutafutie mwekezaji?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Akili za kiccm zimekaa kimakalio makalio sana,haya hata Mahakama na jeshi la Polisi nazo zitafutiwe mwekezaji kwani utendaji wao uko chini ya kiwango kabisa
Wameanza na Tanganyika kumweka rais mwekezaji toka nchi jirani maana Zenji mtanganyika haruhusiwi kujenga Wakimaliza wataleta rais toka Oman ndio uwekezaji wa ccm huo Baptist
 
Kwanini wewe usiende ukawekeza kama umeiona fursa hapo? Au kwanini wewe usitafute mwekezaji ungoje wengine wafanye?

Unaiona keki ipo juu ya meza nyumbani kwako, unasema "tafuteniwatu waje wajikatie wachukue mapande wale"! Si uanze wewe kujikatia hiyo keki a ile yote. khaa! mawazo mengine ya kijuha sana.

Huo ndio uvivu wenyewe wa kifikra na kivitendo.

Kama ulikuwa huelewi watu wanawekeza kila namna huko, kila wanaoiona fursa na wasio na uvivu kama ulionao wamewekeza huko na wanaendelea kuwekeza, wewe baki na "atafutwe mwekezaji". Nani akutafutie mwekezaji?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hahahaaaa....... hahahaaaa...... Nimefurahi kukuona bibie!
 
Back
Top Bottom