mwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji abaomoa nyumba ya Mzee wa miaka 90, familia yalala nje

    Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada ya makazi yao kubomolewa. Tukio hilo linadaiwa kufanywa na Samweli Ngocho, Mkazi wa Kijiji cha...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa mwekezaji Geita: Waziri Shemdoe aingilia kati

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Usimdharau mwekezaji

    Hii picha inatupa funzo usidharau maamuzi ya mtu wala usimlaumu badala yake wewe bariki tu maamuzi yeyote anayetaka kuchukua mtu 🤣 Yule jamaa yetu wa hisa za milion 60 nadhani saivi anaitafuta 300M
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tumwambie Mwigulu, anapodai mikataba imwelekeza mwekezaji na mkandarasi jambazi atumieje hela yake, hiyo ni nonsense na wazimu

    Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu??? Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi. Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia. Umeuza rasilimali ya nchi au...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara au Mwekezaji unaejielewa achana na siasa, kaa jifunze playbook ya uwekezaji na biashara anayotumia Rostam A. He's the best dealmaker

    Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making' Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz. Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo. Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe. Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele kigumu kama kumkagua mwekezaji wa mafuta na gesi kama amerudisha fedha alizowekeza katika mradi

    Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Dk Mo yuko sawasawa kichwani?, Anamchafua mwekezaji Mo.

    Dk Mo ana uhakika gani kuwa wanasimba wangapi hawamtaki Mangungu? Mangungu amechaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mwenyekiti, hawezi kuondolewa na Dk mo kihuni kwa makosa ambayo hayana ushahidi. Yaani wajumbe woooote hawana akili kumchagua Mangungu. Kama vile inageuka vita ya kibiashara na GSM...
  12. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  13. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu hakuna mwekezaji atakayekubali shauri lake lisikilizwe na Mahakama za Tanzania na hakuna shauri la nje ya Tanzania Serikali itashinda

    Huwa nawaonea huruma sana Watanzania wanaopiga kelele kuhusu kwa nini hawapati wawekezaji wakubwa kuwekeza ndani ya nchi yao. Rostam Aziz alipotusanua kuwa Mahakama zetu zina shida kiasi kuwafanya wawekezaji kuogopa kupeleka mashauri yao, tulimuona anakosea sana Ila ukiona namna hoja za...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro haelewi kama hakuna mwekezaji ataenda kuwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana?

    Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  17. kali linux

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Raia wakigeni wasio kidhi vigezo vya uwekezaji wafukuzwe nchini (mtaji wa mwekezaji mgeni unaanzia BILLIONI 1)

    Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji. Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma. Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni. Naomba nitoe mfano mdogo: Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusidanganyike, unapompa mwekezaji asimamie shirika kama Reli, Ndege, Bandari au Mwendokasi, yeye anapata faida zaidi kuliko nchi

    Kuna kitu Watanzania labda kwa ulofa wetu tu hatujakielewa kuhusu kutoa mashirika teyu kama bandari, reli, ndege, mwendo kasi nk kwa waawekezaji toka nje. Wakati tutakiri kwamba ufanisi wa haya mashirika unaweza kuongezeka, lakini lazima watu waelewe anaefaidika na faida ya kifedha hapa sio...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa kitanzania atumia Bilioni 5 kujenga kiwanda kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi

    Mwekezaji wa Kitanzania, Josiah Mrimi, ameweka wazi changamoto alizokumbana nazo wakati wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi, Murikado Food Supply, kilichopo katika kijiji cha Itulahumba, wilaya ya Wanging'ombe, mkoa wa Njombe. Akizungumza siku ya Jumatatu mbele ya Waziri wa...
Back
Top Bottom