Mwanza: RC apiga marufuku mikusanyiko isiyo ya lazima

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,281
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima Mkoani humo ili kudhibiti Maambukizi ya #COVID19

Mhandisi Robert amesema misiba tu na ibada ndiyo itaruhusiwa kuwa na Watu. Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali ndani ya Mwanza."
 
Mimi na Magufuli ni kitu kimoja - Samia Suluhu Hassan.

Haya, wale wazee wa kusifu kwamba "mama anaupiga mwingi sana na ni muumini safi....." nadhani mpo.
 
Back
Top Bottom