Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewashukuru wananchi wa Misungwi kwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano wake wa kampeni leo Jumanne, Oktoba 7, 2025, akisema mwitikio mkubwa ni ishara ya imani kwa chama na viongozi...