Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana.

Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka

Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji.

Nao madiwani wa mkoa huo wamesema kutokana na utendaji kazi wao uliotukuka wamekuwa wakipokea vitisho mara kadhaa hivyo wamemwomba mh Mwanri awapatie ulinzi.

Rip Diwani

Source ITV habari!

=====

Diwani kata ya Usunga wilayani Sikonge mkoa wa Tabora ameuawa na watu wasiojulikana kwa kutumia vitu vyenye ncha kali vinavyodhaaniwa kuwa ni panga.

Diwani huyo aliyefahamika kwa jina la Alfred Masamalo amefariki akiwa na umri wa miaka 47 ameacha mke na watoto sita (6).
 
Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka

Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji.

Nao madiwani wa mkoa huo wamesema kutokana na utendaji kazi wao uliotukuka wamekuwa wakipokea vitisho mara kadhaa hivyo wamemwomba mh Mwanri awapatie ulinzi.

Rip Diwani

Source ITV habari!
 
Lissu alipigwa risasi hadharani akiwa kazini akaomba apatiwe huduma za matibabu kulingana na stahiki zake akanyimwa na ubunge akanyang'anywa. Na hakuna anayeshikiliwa kwa kutaka kumuua mbunge.
Diwani leo watu wanashikiliwa duh

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramli. Wamarekani na wakanada watamsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekuwaje tena?
Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuwawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka

Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji.

Nao madiwani wa mkoa huo wamesema kutokana na utendaji kazi wao uliotukuka wamekuwa wakipokea vitisho mara kadhaa hivyo wamemwomba mh Mwanri awapatie ulinzi.

Rip Diwani

Source ITV habari!

In God we Trust
 
Mungu aepushie mbali kwa kweli!
Naona mna farijiana wenyewe wakati ni ninyi haohao mnaopanda mbegu ya chuki na kuishangilia kila siku.

Alphonce mliona ni mnyama tu, Lissu hana haki ya kuishi na wengine kibao.

Diwani tu mnaanza kulalama? Kila siku tunawaambia humu "mtavuna mnacho kipanda" ni swala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... angekuwa kiongozi wa CHADEMA ameuawa ungesikia visingizio kibao toka kwa IGP na wasemaji wa Polisi, mara wanamtaka dereva, mara muathirika hakutoa taarifa kituoni.

... Na RC ameagiza msako mkali ufanyike. Linganisha na tukio la Alphonce Mawazo, Ben Saanane, Tundu Lissu, hakuna kiongozi hata mmoja aliyeagiza msako ufanyike.
 
Naona mna farijiana wenyewe wakati ni ninyi haohao mnaopanda mbegu ya chuki na kuishangilia kila siku.

Alphonce mliona ni mnyama tu, Lissu hana haki ya kuishi na wengine kibao.

Diwani tu mnaanza kulalama? Kila siku tunawaambia humu "mtavuna mnacho kipanda" ni swala la mda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee jiangalie upelelezi haujafungwa!
 
Back
Top Bottom