mwanri

  1. R

    GE2025 Vituko vya Aggrey Mwanri akiomba kura kwa Wajumbe CCM

    Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni Chanzo: ITV...
  2. McLaren

    GE2025 Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni

    Wakuu, Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia
  3. A

    Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

    Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena Ukienda Tabora imekuwa Toronto na...
  4. Mr Sir1

    Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

    Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
  5. mngony

    Yuko wapi Aggrey Mwanri?

    Bila shaka wengi mnamkumbuka vizuri huyu Mheshimiwa, mimi namkumbuka zaidi kwa uchapakazi wake akiwa Naibu Waziri Tamisemi awamu ya 4, alionekana kuwa mtendaji mzuri na alivutia kwa uwezo wake wa kujieleza, kujenga hoja na kujibu maswali Bungeni. Nilitarajia makubwa kwake kisiasa hata siku...
  6. rosemarie

    Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

    Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
  7. D

    Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

    Hakika shambani kwa bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. Heri wamchaao bwana maana ufalme wa mbinguni ni wao. Agrey mwaniri sasa ni mpakwa mafuta. Ni mchungaji aliyeamua kuacha kondoo 99 na kumtafta yule mmoja aliyepotea ili asishambuliwe na mbwa mwitu.
  8. Idugunde

    Aggrey Mwanri: Jembe lililoachwa kimakosa kwenye Baraza la Mawaziri

    Kila mtanzania anamkubali Agrey Mwanri kuwa ni jembe na mchapa kazi. Anajua kuongoza, anajua kuwajibika. Lakini kwanini kiongozi kama huyu hakupata uteuzi ili aweke mambo sawa kwa manufaa ya umma? Je, kuna tatizo kwa washauri wa rais JPM? Mbona tuna ona watu ambao uwezo wao wa kuongoza ni...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  10. Suley2019

    GE2020 Mkurugenzi wa TPSF Dkt. Godfrey Simbeye achukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Mbozi

    Dkt. Godfrey Simbeye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mbozi katika ofisi za CCM Mbozi na amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa CCM Wilaya Julius Mbwiga.
  11. Suley2019

    GE2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. === Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa mbunge wa Siha tangu mwaka 2000, mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na amestaafu...
  12. DaveSave

    Msikilize Agrey Mwanri, mmoja ya binadamu wakweli

    WanaJamvi naomba Uhakiki katika Usikilizaji. Amewaambia, hasa hapo mwishoni.
  13. funaku

    Hongera Aggrey Mwanri kwa kustaafu

    Kwa roho na moyo wa dhati nampongeza waziri huyu wa zamani wa TAMISEMI na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora. nimewahi kumshuhudia akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha(Kwa sasa ndio jiji la Arusha) aliacha alama ya miti mingi ya kivuli inayoifanya Arusha ya leo kuwa green na yenye kivuli. Nimesikia...
  14. J

    GE2020 Ni kama vile Dkt. Mollel wa Siha amekalia kuti kavu, Agrey Mwanri anarejea Jimboni!

    Siasa ni sayansi. Kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Mwanri siyo habari njema kwa mbunge wa Siha mh Dr Mollel. Kipingamizi pekee kilichokuwa kinamfunga mh Mwanri kugombea ubunge ni nafasi yake ya ukuu wa mkoa ambayo amestaafu rasmi. Tusubiri na Tarime vijijini tuone rangi ya...
  15. J

    Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

    Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji. Nao...
  16. abdul_eliesikia

    Tafakuri Tunduizi ya Uongozi: Mhe Mwanri na saikolojia ya anawaongoza

    Kwanza angalia na sikiliza vizuri hii video. Dawa ya Asubuhi. Utaona ni jinsi gani Mhe Mwanri anatumia saikolojia ya uongozi kuteka nyoyo na hisia za anaowaongoza. Katika hili anaongea na bodaboda ambao wako kwenye ugomvi na polisi. Nitafanya tafakuri tunduizi katika mambo machache 1. Mavazi...
Back
Top Bottom