mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

    Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili

    Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili? Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Uzeeni mwanaume ana uhitaji wa ndoa zaidi kuliko mwanamke. Chukua hatua

    Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto, Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa kadri mwanaume anavyokua ndio anakuwa na uhitaji wa ndoa zaidi( kuwa na mwanamke atakayemjali.) Huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

    Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni! Na maswali yenu ya kipuuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa VS Usioe grand finale!

    TEAM NDOA VS TEAM USIOE Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una mantiki na manufaa kwako. NDOA NI KWA AJILI YA NANI?  Ukipata majibu ya swali hili utaelewa maana...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa sasa mwanaume usikubali kujirahisisha kwa mwanamke, be expensive

    Wanaume tumejaliwa vitu vingi unique kwa upande wetu ila hatuvioni. Sisi pia ni Cake. Wanaume wengi tunateseka sababu ya kujirahisisha kwa wanawake na kuwaona wao ni Cake kumbe ni ushenzi wa nyegez tu. Kichwa cha juu kiwe chepesi kufikiri zaidi kuliko kulaza akili na starehe kwenye kichwa cha...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu lakini asili yao haitaki wafanane katika baadhi ya haki, majukumu, wajibu na adhabu

    Assalaam Alleykum. hakuna ubishi wowote kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu na haki zao za kifamilia zinapaswa kuwa sawa kithamani. Kwa sababu wao wote ni binadamu na hivyo wana haki sawa. Nukta inayopaswa kuangaliwa hapa ni kuwa mwanaume na mwanamke, kwa sababu ya tofauti zao za...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni Competitive, ni hunter hiyo ni tofauti kubwa kibaolojia!

    Sasa hivi nchi imetulia tulii kama kama maji, hakuna mashindano, hakuna ari ya kutaka kuwa wa kwanza na kuwazidi wengine, hata washindani wa Tanzania kama Kenya wame relaxed na kupumua kwani hakuna mikiki mikiki ya ushindani wanapata kila wanachokitaka. Hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Mwanamke...
  9. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Mwana saikolojia wa kimarekani, Profesa Reek amechapisha matokeo ya utafiti wake juu ya mwanaume na mwanamke katika kitabu kikubwa. Anasema: Ulimwengu wa mwanaume ni tofauti kabisa na ule wa mwanamke. Ikiwa mwanamke hawezi kufikiri au kufanya mambo kama mwanaume, ni kwa sababu wanaishi katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke anaonekana zaidi kuliko mwanaume?

    Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi? Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya kuishi? Bongo ukitaja ujambazi mkubwa kabisa, utaambiwa ni ule wa Sarah Simbaulanga. Mabenki na...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili huwezi Kimbia Kuoa kutokana na Changamoto za Ndoa

    Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda. Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua. Kila mara magari...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
  13. JamiiForums Tanzania Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

    Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, au ikiwa ni mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tambua sababu 5 za mwanamke kufanya mapenzi na X wake wakati mpo kwenye mahusiano

    Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo. Ila kama mwanamke uliyenaye ana rekodi nzuri ya kudanga, na hajabadilika basi ukae tayari...
  15. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke anakulalamikia haumjali kisa haumtumii ujumbe au kumpigia simu kila saa, mwambie hivi...

    Ukiwa na mwanamke asiyejiamini atataka umpigie na kumtext kila muda ili ajisikie kupendwa na aone unamjali. Mara nyingi wanawake ambao hawakupata upendo mzuri wakiwa wadogo hufanya hivo, kila muda wanataka wapetiwe wajisikie wanapendwa. Pia ukiona mwanamke anakukera kwa kutaka muda wote...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

    Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi. Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale...
  17. JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

    Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua. "Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe." Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume kujimwambafai

    Anyway leo nipo timamu nimeamua kutoa maoni au ushauri Sifa ya mwanaume ni ujasiri hata kama unajua hapo hutoshi Naongea na wale wa mbagala, temeke, tabata, mbezi au sehemu yeyote mnayosema kuna vibaka OK ponti ni mwanaume unakabwa na wahuni tuwili unalegeza sauti (kama amina au aisha) na...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume msiache kusoma hapa

    Kuna Jambo ambalo natamani tukumbushane leo, na Jambo lenyewe linaitwa MWANAMUME. Ikiwa ni mwanaume ama ni mzazi wa mtoto wa kiume si vema kupita bila kusoma huenda ukapata kitu, Karibu. Nianze kwa kusema mwanaume ameumbwa tofauti sana na mwanamke, mwanaume ndiyo asili ya mwanamke na uzao...
  20. JamiiForums Tanzania Kifo cha Norah; aliyejifanya mwanaume ili ajue maisha ya wanaume yakoje

    Kifo cha Norah Vicent kiliibua hisia kwa jamii kutokana na namna utafiti alioufanya ulivyommaliza yeye mwenyewe. Norah alitaka kujua maisha ya mwanaume yakoje..ni changamoto zipi anapitia? Mwaka 2003, bila kubadili jinsia yake, akaamua ajifanye kuwa mwanaume; akaajiri mtu wa make up,mtaalamu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…