Huyu mwanaume hata umkere vipi hajui kukasirika

Sengimisoji

Senior Member
Feb 2, 2022
128
208
Nitawasalimu baadae,

Hivi wanaume wakisukuma ndio mupo hivi au nihuyu tu mjuba wangu,,nitall mweusi,pesa ipo kiasi chake sihaba!!tatizo linaanzia hapa nimwaka wapili Niko nae huyu jamaa hajui kukasirika, hata umuandikie msg zakukera kamwe hawezi kukukasirikia, baadae mtaongea tu vizur Kama vile hakuna kilichotokea.

Ukimwambia mahusiano yaishie hapa hakujibu kitu zaidi atafanya kitu tu ili aongee na we lkn sio kubembeleza mpaka ujue anakumbembeleza, mm Nina kisirani Ila hapa sielewi km napendwa, naona Kama hana amshaamsha, wasukuma wote muko hivi hamtaki kujulikana kama mmezama penzini?

Wasukuma mnisamehe.
 
Nitawasalimu baadae,hivi wanaume wakisukuma ndio mupo hivi au nihuyu tu mjuba wangu,,nitall mweusi,pesa ipo kiasi chake sihaba!!tatizo linaanzia hapa nimwaka wapili Niko nae huyu jamaa hajui kukasirika,hata umuandikie msg zakukera kamwe hawezi kukukasirikia,baadae mtaongea tu vizur Kama vile hakuna kilichotokea,ukimwambia mahusiano yaishie hapa hakujibu kitu zaidi atafanya kitu tu ili aongee na we lkn sio kubembeleza mpaka ujue anakumbembeleza,mm Nina kisirani Ila hapa sielewi km napendwa,naona Kama hana amshaamsha,au nivile huwa wanasema wanaume wasukuma wanadata na wanawake weupe na wenye shape yakibantu, wasukuma mnisamehe.
Kwa iyo lazma ugomvi ndo ujue unapendwa? Nyi watu huwa mnanishangaza.... ila si haba. Drama muhimu.
 
Nitawasalimu baadae,hivi wanaume wakisukuma ndio mupo hivi au nihuyu tu mjuba wangu,,nitall mweusi,pesa ipo kiasi chake sihaba!!tatizo linaanzia hapa nimwaka wapili Niko nae huyu jamaa hajui kukasirika,hata umuandikie msg zakukera kamwe hawezi kukukasirikia,baadae mtaongea tu vizur Kama vile hakuna kilichotokea,ukimwambia mahusiano yaishie hapa hakujibu kitu zaidi atafanya kitu tu ili aongee na we lkn sio kubembeleza mpaka ujue anakumbembeleza,mm Nina kisirani Ila hapa sielewi km napendwa,naona Kama hana amshaamsha, wasukuma wote muko hivi hamtaki kujulikana kama mmezama penzini ?wasukuma mnisamehe.
Kama wewe ni mtu mwema (mtulivu) huyo jamaa anakufaa ila kama hujielewi mwache mapema TU.....Anakupenda kweli hataki akupoteze ila ndo wale akikuweka ndani ukiwa too much hataongea kama ulivyomzoea ila atakuzima jumla (Swalha&Said)
 
Asante my dear,mm ni mtulivu Sana lkn kisirani Sasa,wiki haiishi bila kuongea kauli mbovu Ila hajawahi kukasirika kwa kauli zangu,Kuna muda mpaka najistukia nasema kwa haya yaleo mahusiano yameishia hapa,Ila baadae tunajikuta tu tupo pamoja nahata hahoji kitu,.
 
Tukisema hamuelewi kitu mnachokitaka mnachukia

Hivi kweli na kisirani chote hicho msukuma wa watu kavumilia huo msalaba bado unamuona banana zoro eti hana amsha amsha

Ukipata mume saa mbovu utakuja tena huku kulia lia ooh wanaume wakichaga wakorofi, wana madharau ananipiga, anarudi nyumbani amelewa

Tukufenyeje ww ashura?
 
Embu fikiria mtu gani hajui kukasirika,hawezi kukumbeleza mojakwamoja atatafuta njia ingne tu kusolve tatizo napo hapo akijua kweli amekukera alichofanya,km umeamka nakisirani chako tu hatokujibu kitu,na mkiwasiliana hakuulizi kuhusu ulichokiandika,huyu msukuma og naelewa wasukuma niwajeuri nami nimsukuma Ila huyu ananipa ukakasi....
 
rud
Nitawasalimu baadae,hivi wanaume wakisukuma ndio mupo hivi au nihuyu tu mjuba wangu,,nitall mweusi,pesa ipo kiasi chake sihaba!!tatizo linaanzia hapa nimwaka wapili Niko nae huyu jamaa hajui kukasirika,hata umuandikie msg zakukera kamwe hawezi kukukasirikia,baadae mtaongea tu vizur Kama vile hakuna kilichotokea,ukimwambia mahusiano yaishie hapa hakujibu kitu zaidi atafanya kitu tu ili aongee na we lkn sio kubembeleza mpaka ujue anakumbembeleza,mm Nina kisirani Ila hapa sielewi km napendwa,naona Kama hana amshaamsha, wasukuma wote muko hivi hamtaki kujulikana kama mmezama penzini ?wasukuma mnisamehe.
Rudi kwenu kongo
 
Back
Top Bottom