Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume ana mtoto na hakuniambia

beauty oo1

Member
Sep 3, 2022
8
34
Jamani naombeni ushauri nilikuwa na mahusiano na mwanaume kumbe alikuwa na mtoto hakuniambia nilivyogundua ndo akakubali kweli mtoto anae lakini mama ake mtoto hana mahusiano naye.

Nimekuja kugundua ana mahusiano naye maana kuna siku alikuwa ananitafuta ananiambia niachane na mwanaume wake.

Mimi nikaachana naye nikampata mwanaume mwingine akaenda kumfanyia fujo huyo ambae nilikuwa nataka nianzishe nae mahusiano akaniacha na mwanaume huyo wa kwanza ananitisha ataniua.

Nikimwacha na huku mwanamke ananiambia atanifanyia kitu kibaya lakn mm nmefanya maamuzi ya kuachana na huyo mwanaume lakn mara nyingi nikifanya maamuzi ya kuachana nae ananifanyia fujo cjui nifanyee nini.
 
Kama umehakikisha kabisa bado wanamahusiano hapo chukua maamuzi magumu tu, japo inaonekana huyo mwanaume kama havuti bangi basi ni mtu wa fujo sana.

Mpaka mwanaume mwenzake kakuacha kutokana na fujo zake huyo ni hatari anaweza akafanya kweli hata asipokuua basi atakujeruhi ni vizuri ukimchukulia hatua za kisheria kama ataandelea kukutisha.
 
Kama umehakikisha kabisa bado wanamahusiano hapo chukua maamuzi magumu tu, japo
Oyaa, unaona maandishi yako makubwa yanavyotusumbua?
 

Attachments

  • IMG_20220907_192745.jpg
    IMG_20220907_192745.jpg
    161.2 KB · Views: 14
Jaman naombeni ushauri nilikuwa na mahusiano na mwanaume kumbe alikuwa na mtoto hakuniambia nilivyogundua ndo akakubali kweli mtoto anae lakn mama ake mtoto hana mahusiano nae nmekuja kugundua anamahusiano nae maana kuna siku alikuwa ananitafuta ananiambia niachane na mwanaume wake. Mm nikaachana nae nikampata mwanaume mwingine akaendaa kumfanyia fujo huyo ambae nilikuwa nataka nianzishe nae mahusiano akaniacha.na mwanaume huyo wa kwanza ananitisha ataniua nikimwacha na huku mwanamke ananiambia atanifanyia kitu kibaya lakn mm nmefanya maamuzi yakuachana na huyo mwanaume lakn mara nyingi nikifanya maamuzi ya kuachana nae ananifanyia fujo cjui nifanyee nn
Mripoti polisi, ni kosa kutishia mtu kumtoa uhai wake.
 
Jamani naombeni ushauri nilikuwa na mahusiano na mwanaume kumbe alikuwa na mtoto hakuniambia nilivyogundua ndo akakubali kweli mtoto anae lakn mama ake mtoto hana mahusiano naye.

Nimekuja kugundua ana mahusiano naye maana kuna siku alikuwa ananitafuta ananiambia niachane na mwanaume wake.

Mimi nikaachana naye nikampata mwanaume mwingine akaendaa kumfanyia fujo huyo ambae nilikuwa nataka nianzishe nae mahusiano akaniacha na mwanaume huyo wa kwanza ananitisha ataniua.

Nikimwacha na huku mwanamke ananiambia atanifanyia kitu kibaya lakn mm nmefanya maamuzi ya kuachana na huyo mwanaume lakn mara nyingi nikifanya maamuzi ya kuachana nae ananifanyia fujo cjui nifanyee nini.

Ndiyo raha ya umalaya!
 
Back
Top Bottom