mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Napatwa na hasira na munkari nikiona mwanaume amevaa hereni

    Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana. Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
  2. Mwanaume Vs Mwanamke: Uchambuzi wa Ubongo wa Mwanadamu

    Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo. 1. KUFANYA KAZI NYINGI. Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
  3. Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako

    USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo anatumia majina yako na anayafurahia. Ukiwa mwanaume uliyeshindwa, usiye na hadhi, mwanaume usiye wa...
  4. Dar: Kijana ashushiwa kipondo na Dada poa baada ya kushindwa kulipia huduma

    Kama Kuna Watu wako hatarini kutoweka ni wanaume halisi.....jamaa kapokea kipondo heavy baada ya kushindwa kulipia huduma ya dada poa. WENYEWE WAJITETEA KUWA NI MAIGIZO, SIO UHALISIA. JAPO WAMESHINDWA KUSEMA NI MAIGIZO YA KIKUNDI GANI NA MAUDHUI YAKE NI NINI ......
  5. Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

    Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23. Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili? Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza kuyapata? Ikipendeza drop na picture yake.
  6. Dunia inapambana kumfuta mwanaume

    Wakuu mulibwanji? Aisee nimetafakari sana jinsi ambavyo dunia ikishirikiana na mwanamke kummaliza mwanaume, kufuta nafasi ya mwanaume, kufuta haki zake ikibidi zinachukuliwa na kupewa mwanamke. Ninakuhakikishia hata huyo mkeo uliyenaye hapo ni vile hajapata mtu mwingine tu anayekuzidi...
  7. Hivi hii imekaaje? ya mwanaume kukaa ukimbembeleza mwanamke/mpenzi masaa kibao akilia wewe unachukua kitambaa unampangusa

    Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na...
  8. B

    Hakuna kitu kizuri kwa mwanaume kama kuwa na uhuru wa kihisia linapokuja suala la mapenzi

    Ninaposema uhuru wa kihisia namaanisha ewe mwanaume popote ulipo, iwe kazini, chuoni, mtaani hakikisha hawachukulii serious wanawake, yani moyo wako uwe kama jiwe, mtu asipoliondoa litabakia hapo milele, namaanisha uwe na mindset kuwa mdada yoyote nikimtongoza akinikubali sawa, asiponikubali...
  9. Ni dalili zipi za Awali ukienda Kumtembelea Mwanaume Kwake akiwa na Bintiye 'Aliyeumbika Mashaallah' utahisi kuwa Anambandua / Wanabanduana tu?

    Kuna Familia nimetoka Kuitembelea leo kwa nilichokiona nikiambiwa yule Baba hamlali ( hambandui ) Mwanae ( Bintiye ) basi GENTAMYCINE nitaukweka ( nitapuu ) kuanzia hapa Mkoani Dar es Salaam hadi Kwetu Mkoani Mara nikiyapanga tu Barabarani kwa Kutoamini. Natamani sana nikiweke hicho...
  10. KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  11. Kila mwanaume aliyefika Mkoa wa Tabora na viunga vyake anakiri kuwa Tabora ni kiboko ya Upwiru

    Nimefika Tabora mara kadhaa sambamba na hilo katika usomaji na ufuatiliaji wa threads za hapa jukwaani, nimebaini pasipo na shaka wala mawaa yoyote yale kuwa mkoa wa Tabora unaongoza kwenye tiba ya upwiru na upatikanaji wa wana upwiru hasa wenye virutubisho mpakato. Toka kitambo si kwa...
  12. Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete? Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa. Tazama clip hizi hapa chini.
  13. Rangi gani inafaa kupaka kwa ndani kwenye chumba anachoishi mwanaume?

    Habari, Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani? Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume? Asante
  14. Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
  15. Heshimu mwanaume anayekupa malisho

    Material create God is LOVE, Mungu ni pendo. Mapenzi ni hisia kama huna hisia njoo tukuombee. Kuna story nimeitoa kwenye maandiko matakatifu ikieleza Mwanamke ni nani kwa Mwanaume. Palikuwa na watu wawili katika mji mmoja; mmoja wao alikuwa tajiri, wa pili maskini. Yule tajiri alikuwa na...
  16. Mwanaume wa kiarabu mwenye silaha aua raia wawili wa Sweden mjini Brussels, Ubelgiji

    Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
  17. Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

    Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari. Situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe...
  18. Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Zipo tofauti nyingi kati ya MWANAUME na MWANAMKE zinazosababisha migongano mingi kwa wahusika kwa kutokujua, laiti kama wangezijua tungepunguza migongano na migogoro isiyo ya lazima. 1) MWANAUME aliumbwa kutokana na udongo lakini MWANAMKE hakuumbwa kutokana na udongo yeye alitolewa kwenye ubavu...
  19. Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  20. Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…