mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Je, hawara ana haki kwenye mali ya mwanaume?

    Wakuu kuna mwanamke nilizaa nae mwaka 2007, wakati nikiwa na mke wangu, na sikuwai kuishi nae zaidi ya kuwa nilikuwa naenda alikopanga mara moja moja, na mara nyingine akishindwa kodi ya nyumba nilikuwa namlipia, na pia alikuwa na fremu ya biashara, alikua akishindwa kodi namsaidia. Mimi na wife...
  2. Strong and Fearless

    Namkataaje mwanaume nisiempenda?

    Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)? Naombeni ushauri......
  3. U

    Kwa mujibu wa injili ya Barnaba mbwa ni bora zaidi ya mwanaume asiyetahiriwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa kitabu cha injili ya Barnaba inayoeleza kuwa mnyama mbwa yu bora zaidi ya Mwanaume asiyetahiriwa! Nimekuwekea nukuu yote hapo chini: Miserable condition of the uncircumcised in that a dog is better than they "The disciples...
  4. Amaru

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia. 5. Mwanaume anayeleta Usalama...
  5. Nobunaga

    Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee.. Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa.. Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".
  6. Kichwamoto

    Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

    Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili. You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's...
  7. Brain Kingdom

    Mungu hakufanya makosa kumfanya mwanaume kuwa kichwa katika jamii zetu

    Hapo zamani za kale Mungu alidhihiri mamlaka na uwepo wake kwenye nafsi za wanaume na ndiomana alifanya mwanaume amuoe mwanamke ili aendeshe familia kwa mfano wa Mungu. Je, endapo jamii au familia inaongozwa na mwanamke huyu Mungu hubadirisha utaratibu na kanuni za umungu wake? Mungu atabaki...
  8. Q

    Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

    Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja. Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia...
  9. Money Penny

    Mwanaume yupi ukiolewa nae utaenjoi sana ndoa?

    Kuna swali hapa nimeulizwa Money Penny, eti mwanaume wa ngapi kuzaliwa ni mzuri na utainjoi ndao ukiolewa nae? Mwanaume wa Kwanza kuzaliwa? Mwanaume wa Mwisho kuzaliwa? Mwanaume wa nne kuzaliwa? Nyuzi zangu: Kaka wa kipare ashindwa kumtongoza Vera Sidika.... Story: Fumanizi la ukubwani...
  10. TUKANA UONE

    Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  11. Money Penny

    Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

    Ndio hivyo Kwani uongo?? Tatizo hamtusikilizagi Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha 1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but...
  12. BigTall

    Mwili wa Mwanaume waokotwa mitaa ya Jangwani, inadaiwa alishambuliwa, kuuawa kisha kutupa

    Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa. Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo. Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
  13. SweetyCandy

    Sitafuti tena mume wakunioa kwa wema tu sio kwa shari

    Jamani wazima? Sisemi nimepata au sijapata ila kwa sasa nimesitisha utafutaji wa mume kabisa na asanteni kwa ushirikiano wenu. Kweli i was so happy kumeet na watu wanaheshima, upendo na ushirikiano wenu sijapata mtu aliyenikwaza hata kidogo. Nawatakia Jumapili njema.
  14. G

    Hivi ni utamaduni wa hizi kazi wanaume kuwa malaya?

    Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya: Wajenzi wa nyumba Wachimbaji wa madini Wavuvi Mafundi gereji Mafundi simu
  15. S

    Mwanaume smart &Busy lazima use nacho hiki kifaa

    Habari Wana JF? Katika pita pita zangu na pilika za mtu mwusi, nimekutana na Kifaa nilichokifanyia tafiti umuhimu wake, nashauri Kila mwanaume smart na aliyekua busy lazima awe nacho, na ikibidi atembee nacho Kila anapokwenda. Kifaa hicho si kingine Bali ni TUMMY TRIMMER. UMUHIMU WA KIFAA...
  16. Smart Contract

    Somo kwa wanawake: Usimuwekee limbwata mwanaume asiye kupenda

    Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini. Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote. Kama ni...
  17. Koffi Annan

    Mwanaume, natafuta mpenzi

    Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
  18. Money Penny

    Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

    NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
  19. R-K-O

    Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  20. R-K-O

    Mwanaume alieanza kujitafutia sio sawa kumtumia pesa mama badala ya baba, Sio sawa hata kidogo kusema nani kama mama

    Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo. Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
Back
Top Bottom