Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari.

Situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe 5/10/2023 nilibrid siku 5 .

Tumekutana tarehe 13/10/2023 na tarehe 14/10/2023 nasikilizia kama ntakuwa na mimba.kama sitapata basi uyu mwanaume wangu hana uwezo wa kunipa mimba jamani.
 
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari, situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe 5/10/2023 nilibrid siku 5 ,tumekutana tarehe 13/10/2023 na tarehe 14/10/2023 nasikilizia kama ntakuwa na mimba.kama sitapata basi uyu mwanaume wangu hana uwezo wa kunipa mimba jamani.
Hapana, si kwamba uwezo wa kukupa mimba hana. Uliwahi kagua begi lake uone kama hazimo?
Ila tu nikiacha mzaha,ukiona hivyo,ujue alishakusoma na akaona wewe si mwanamke wa kuzaa nae. Kwa hiyo na yeye huenda kabla ya kukudandia,anaharibu kwanza. Si nyie mnaharibu baada ya mchezo kutokea?
 
Wewe mwanadada Acha Mawenge, Mtu Kaamua kukuhifadhi lakini waanza kuleta ujuaji. Jiangalie kwanza kama umewahi kutumia Njia yoyote ya uzazi wa mpango eidha Kwa kuweka vijiti au vidonge n.k Ispokuwa Calendar basi shida Yaweza kuwa imeanzia hapo. Na Ikiwa Mzee Wa Kazi Ana Shida Basi Mkae Mzungumze ni mambo yanayozungumzika na pia yanakaa sawa.

#Calm Down Madame
 
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari, situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe 5/10/2023 nilibrid siku 5 ,tumekutana tarehe 13/10/2023 na tarehe 14/10/2023 nasikilizia kama ntakuwa na mimba.kama sitapata basi uyu mwanaume wangu hana uwezo wa kunipa mimba jamani.
Mkapime wote!
 
Punguza panic
 
Mimi ninamashaka na wewe ila kama itakupendeza tukutane kwenye siku zako za hatari ili tuthibitishe tatizo liko wapi, tuwasiliane pembeni.
 
Tulia, wacha makeke.

Sikuiz technologia imekuwa mno, hayo mambo mnazungumza then mnaenda hospital, zipo dawa kwa maelfu ya tatizo kama hilo.

Kumbuka ulitiwa mimba ukaachwa kwa kutaka mambo kwa pupa...

Nenda taratibu.
Mwambie mwimbia kubunyee huyo
 
Back
Top Bottom