mwananchi

Mwananchi Communications Ltd is a company based in Tanzania. Mwananchi Communications Ltd, engages in the print media and radio, and is the publisher of Tanzania's leading daily newspaper, Mwananchi (in Swahili), and others such as The Citizen, Sunday Citizen, Mwananchi Jumapili, and Mwanaspoti.
The executive editor is Bakari Steven Machumu and the Mwananchi daily managing editor is Frank Sanga. Abdul Mohamed heads Mwanaspoti in Tanzania and Kenya. Sanga is regarded as the sports journalism guru in the region. His influence in sports led Kenyan media to start sports newspapers, such as Sports On and Game Yetu.Thomas Mosoba is the managing editor of The Citizen Daily, which has contributed much to socio-economic changes in Tanzania and in the region as well.
The company was established in May 1999 by Ambassador Ferdinand Ruhinda as Media Communications Ltd. But in April 2001, a new business was established (Advertising Agency & Public Relations) and a new company was formed—Mwananchi Communications Ltd. In the very same year Mwananchi Communications Ltd was acquired by the Nation Media Group (NMG), which is based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapenda sana kuwaonea TBC, wengine wenye makosa sawa sio tu kuwafukuza bali hata kulalama hamjawahi

    Pichani ni marehemu Marine Hassan Marine akisindikizwa na askari kutoka kwenye viwanja vya kampeni Jangwani mwaka 2010 baada ya wapenzi na mashabiki wa CHADEMA wenye jazba kulalama na kumzonga kufuatia matangazo ya moja kwa moja ya TBC kukatika hewani. August 4, 2020 kulikuwa na mkutano mkuu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli flyovers na ndege zetu hazina msaada wowote kwa mwananchi anayeishi Nanyamba au Kyabakari?

    Salamu kwenu, Kumekuwa na kelele nyingi kuwa ndege zetu hazina maana yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Watu wanaenda mbali zaidi kuhoji ikiwa flyovers za Dar es Salaam zina umuhimu wowote kwa watanzania waishio vijijini, mikoani huko. Ukiangalia hizi hoja, unapata picha mbili. Ya kwanza ni kuwa...
  3. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa gazeti la Mwananchi, mmethubutu

    Ni gazeti pekee angalau lilodhubutu kuzungumzia habari za Tundu Lisu mgombea halali wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Azam tv habari pia tuliona habari yenu kumhusu Lissu, inatosha kusema angalau mmethubutu.
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Livestream ya hotuba ya Lissu kwenye Digital Mwananchi iko censored?

    Naangalia hapa acceptance speech ya Tundu Lissu. Hoja zake nyingi, hususan zile za nguvu na uwezo wa rais, nazikubali. Cha kushangaza ni kwamba, kila akianza kumrushia vijembe na madongo Rais Magufuli, sauti inapotea kwa muda halafu baadaye kidogo inarudi. Anaendelea tena kuongea, lakini...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Kamati kukata jina la Mshindi wa Kura za ndani bila sababu za maana?

    Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi? Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao? Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tupime thamani ya pesa hapa (Value for Money) Je, Maslahi ya Mbunge yanaakisi hali halisi ya mwananchi wa kawaida?

    MASLAHI YA MBUNGE: - Mshahara: TZS 3.8M kwa mwezi - Shangingi la kutembelea (wanakopeshwa bei chee) - Posho ya mwezi: TZS 8M kwa mwezi - Posho ya Kikao: TZS 240K kwa siku - Posho kujikimu: TZS 120K kwa siku - Pensheni: TZS 240M baada ya miaka mitano - Bima ya afya ya daraja la kwanza kwako na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere: Tunataka kuona Vijana Jasiri, wanaohoji mifumo Kandamizi, Wasiotikia Ndiyo Mzee

    "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi...
  8. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

    Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Sports Editor at Mwananchi Communications Limited

    Sports Editor – Mwananchi Mwananchi Communications Limited, publishers of the leading Tanzania newspapers, Mwananchi, The Citizen and Mwanaspoti is looking for motivated and highly experienced individuals to fill the position of: Sports Editor – Mwananchi (1 Posts) To manage the day-to-day...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sera za awamu ya tano na vipaumbele vyake vs vipato halisi vya wananchi ndani ya miaka hii mitano

    Mimi sio mchumi, ila nachokiona ni kuwa, awamu hii inakaamua sana wananchi na hela inayokusanywa sehemu kubwa imeelelekezwa katika miradi michache tena inayoplekea baadhi ya fedha kwenda nje ya nchi(kupitia ununuzi wa malighafi kutoka nje,kulipa wataalamu wa kigeni,n.k) na hivyo inakuwa ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi inapumulia mashine

    Kampuni ya Mwananchi inayochapisha Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikiaminika kwa kuhabarisha kwa uwazi iko kwenye msukosuko. Pamoja na kushuka kwa biashara ya habari nchini, hali ya hewa so nzuri Mwananchi. Wafanyakazi wa idara ya matangazo wanasema kwamba...
  12. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sukari: Ni bora viwanda vya ndani vife, mwananchi apone

    Deregulation of sugar industry will see the economies of scale and market competitiveness transfer relief that results into lower prices to final consumers. In order to protect local industries, govt have been placing quotas or embargoes to the importation of sugar something that has resulted...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Dar: Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication wakamatwa kwa kusambaza taarifa za uongo za Corona

    Jeshi la Polisi Kinondoni limesema limefanikiwa kuwakamata Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication-Kitengo cha Matangazo kwa tuhuma za kutuma taarifa za uongo na uzushi kuhusu #COVID19 Limesema waliokamatwa ni Hidari Hakimu (27), Afisa Biashara kwenye Kampuni hiyo ambaye ni...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Market Development Executives-Regions at Mwananchi Communications Limited

    Mwananchi Communications Limited publishers of leading Tanzania newspapers, Mwananchi, Mwanaspoti, and The Citizen and its various online and digital products are looking for motivated and highly experienced individual to fill the position of: MARKET DEVELOPMENT EXECUTIVES-REGIONS Job Purpose...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi online lafungiwa miezi sita na kulipishwa faini milioni 5 kwa kupotosha

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania kuiptia Kamati ya Maudhui imesitisha leseni ya utoaji wa huduma za maudhui mtandaoni ya Mwananchi Newspaper kwa kipindi cha miezi sita, na kuwapiga faini ya Tshs milioni 5. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa Aprili 13 kupitia mitandao ya kijamii...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Mzumbe University

    Mzumbe University invites applications from suitably qualified and competent Tanzanian to fill the following Contract vacant posts: 1. SUPPLIES ASSISTANT II (2 Post) - Main Campus in Morogoro (a) Qualification and Experience Holder of Form IV or VI Certificate with passes in...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications

    Taarifa ya Mwananchi inadai kwamba mwenendo wa Meena kwenye mitandao ya kijamii unapingana na sera za kampuni hiyo (haikufafanua mwenendo huo ni upi) Meena alikuwa ni miongoni mwa wahariri waandamizi wa kampuni hiyo na mkataba wake umevunjwa tarehe 23/3/2020. Haikujulikana kama atalipwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mharibu nchi, ni mwananchi mwenyewe

    Hakuna shaka juu ya huo msemo, mwananchi mwenyewe ndio mwenye uwezo wa kuijenga na kuiharibu nchi. Hata kukitokea mgeni kutaka kuharibu nchi ni lazima apitie kwa mwananchi mwenyewe Nimeona bandiko la Mjomba Paskali kuhusu alichokiita Security Alert. Alichoandika Paskali kilitakiwa kuonwa na...
Back
Top Bottom