mwananchi

Mwananchi Communications Ltd is a company based in Tanzania. Mwananchi Communications Ltd, engages in the print media and radio, and is the publisher of Tanzania's leading daily newspaper, Mwananchi (in Swahili), and others such as The Citizen, Sunday Citizen, Mwananchi Jumapili, and Mwanaspoti.
The executive editor is Bakari Steven Machumu and the Mwananchi daily managing editor is Frank Sanga. Abdul Mohamed heads Mwanaspoti in Tanzania and Kenya. Sanga is regarded as the sports journalism guru in the region. His influence in sports led Kenyan media to start sports newspapers, such as Sports On and Game Yetu.Thomas Mosoba is the managing editor of The Citizen Daily, which has contributed much to socio-economic changes in Tanzania and in the region as well.
The company was established in May 1999 by Ambassador Ferdinand Ruhinda as Media Communications Ltd. But in April 2001, a new business was established (Advertising Agency & Public Relations) and a new company was formed—Mwananchi Communications Ltd. In the very same year Mwananchi Communications Ltd was acquired by the Nation Media Group (NMG), which is based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Leak

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi #MwananchiUpdates Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

    NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA. Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili. Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Moja ya hatua muhimu za kujikinga na Covid ni kunawa mikono, Kipanya anaonyesha hali halisi ya mwananchi wa kawaida

  4. Z

    JamiiForums Tanzania TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

    Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking). I tell this is the only...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nchi haipaswi kuendeshwa kisiasa. Afya ya mwananchi isifanyiwe kama mtaji wa kisiasa

    Habari wadau! Nawasalimu kwa jina la Bwana na Allah. Hivi mpaka lini serikali itaendelea kufanya siasa kwenye maswala ya msingi kama Afya? Kila siku wanajinasibu kwamba matibabu ni bure kwa wajawazito na watoto, ila ukweli swala hili nilipingana sana na wife baada ya kuniaminisha kwamba...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Freelance Business Executive, Courier at Mwananchi Communications Limited

    Job Summary To develop, maintain and increase a solidly dependable client base, to sell courier opportunities and provide an effective service to clients so as to maximize sales volumes and revenue targets. Full Job Description Sourcing of courier business in line with the courier sales...
  7. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Tunapoendelea kusoma mfululizo wa kesi ya Zombe katika gazeti la Mwananchi kuna mengi ya kujifunza

    Gazeti la mwananchi limekuwa likileta mfululizo wa kesi ya Zombe iliyohitimishwa kwa SP Bageni kuhukumiwa kifo. Yaani IGP, Waziri wa usalama wa raia wote hawakuona umuhimu wa kuchunguza hadi Rais alipounda Tume. Hilo ni tukio moja tu kati ya matukio mengi ambayo hayajawahi kuundiwa TUME...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ukiugua maradhi ya mfumo wa upumuaji zingatia haya

    Watu wanaougua maradhi ya mfumo wa upumuaji ikiwemo nimonia, wameshauriwa kufuata taratibu za namna ya upumuaji na staili za kulala kama sehemu ya tiba mazoezi ili kupona haraka. Mazoezi hayo yanayohusisha namna ya kukaa, kulala na kupumua ambayo yametajwa kusaidia uondoshaji wa maji na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote

    Mbunge wa Kawe mh askofu Gwajima amesema siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote na amewataka wanasiasa kuwatendea haki wananchi. Gwajima alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari katika sherehe za maazimisho ya miaka 44 ya kuzaliwa CCM Mabwepande nje...
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mwananchi ungeambiwa kuchapa kiongozi kiboko, ungemchapa nani na kwa sababu zipi?

    Wanabodi, Heri ya mwaka mpya wa 2021! Nimekaa kwa muda nikitafakali, kujiuliza na kutafuta majawabu kuhusu mienendo ya viongozi kuwachapa bakora wananchi kufuatia tuhuma mbalimbali dhidi ya wachapwaji. Huenda viongozi hao wana sababu za msingi au hawana - wengine huwachapa bakora wakosaji kwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila asimamia ubomoaji wa nyumba ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya Atony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala, Halmshauri ya Wilaya ya Mbeya, baada ya kukaidi agizo la kubomoa kwa hiari nyumba yake. Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila. Uamuzi wa RC Chalamila, ulitokana na Lyuba...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji Tshs 3,000 hadi 5,000 kila kaya bila kutoa risiti za kielektroniki lina baraka za mamlaka?

    Habari wadau, Kwenye mitaa yetu hususa huku uswazi kuna zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji 3000/= mpaka 5000/= kila kaya kiukweli hii ni pesa nyingi sana ambayo serikali za mitaa/mkandarasi wa taka anakusanya cha ajabu ukilipa haupewi risiti ya electronic. Ila point yangu ni: Je, hili...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Hivi gazeti la mwananchi online lilipatwa na shida gani?

    Mimi nilikuwa mfatiliaji mkubwa wa gazeti la mwananchi online, siku hizi silioni maana nilikuwa nalipenda sana. Kilichokuwa kinanifurahisha kwenye hiyo web yao hasa ni mpangilio wa habari, kuweka habari kwa wepesi na uhakika zaidi. Makala nzurinzuri na kupatikana katika application ya...
  14. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Kero ya misafara ya viongozi wakuu wa serikali: Mwananchi atoa neno zito "Ole wao dada yangu akipoteza maisha!"

    Kichwa cha uzi ni nukuu ya kauli ya jamaa yangu mmoja ambaye sasa hivi yupo likizo huko kijijini kwao mkoani Songwe. Jamaa yangu huyu ananitaarifu kuwa asubuhi ya leo alikuwa amejihimu mapema kumuwaisha hospitali ya mkoa dada yake ambaye usiku mzima wa kuamkia leo amekuwa mahututi. Jamaa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi mbona halifanyi uchambuzi wa wagombea Urais

    Uchaguzi mkuu uliopita gazeti la Mwananchi kupitia kwa mwandishi wa makala wa kujitegemea Julius Mtatiro lilikua likifanya uchambuzi wa Wagombea pamoja na watarajiwa wa kugombea nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali. Ilikua ni kama series ya magazeti kutoka na makala ya mhusika mmojawapo...
  16. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Lissu apotosha mwananchi kuhusu Uwanja wa Ndege wa Mpanda-Katavi

    Tundu Lissu ameishiwa sera ni bora akae kimya kuliko kuongea uongo na upotoshaji pindi anapoomba kura kwa wananchi katika kampeni zake. Leo akiwa katika kampeni zake Makambako, Mkoani Iringa amewaeeleza wananchi kuwa uwanja wa ndege wa Mpanda kwa sasa haufanyi kazi kwamba ulijengwa kwasababu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura kwa mwananchi ni kuchagua Kiongozi mtenda haki na sio chama. CCM hawatendi haki

    CCM haifai kupewa kura na wananchi,viongozi wa upinzani mujikite kuwaeleza wananchi kuwa CCM imekosa viongozi waadilifu,waambieni kuwa CCM imevamia polisi,majeshi na vyombo vyote vya ulinzai na usalama ikiwemo mahakama. CCM inaingilia uhuru wa vyombo hivyo bila ya aibu mchana kweupe na...
  18. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Ewe mwananchi, Septemba 7 yako ni nini katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Magufuli?

    Kumbe sptemba saba haimhusu Lissu tu kipigwa risasi. Wengi wetu tuna septemba 7 zetu. Lissu kanifumbua macho! Binafsi Septemba 7 yangu ni kutoongezwa mshahara wala kupandishwa cheo kwa miaka mitano iliyopita. Matokeo yake ni nini? Matokeo yake ni kwamba mipango yangu yote ya maendeleo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

    WanaJF Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma. Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu Tayari Kuna pilikapilika kubwa...
  20. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Najiuliza, ni Mwananchi wa aina/fani gani atampa kura Magufuli mwaka huu

    Yaani nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu. Maana kama;- WAFANYA BIASHARA. Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer msoto wa Manji alioupitia toka Magufuli aingie madarakani na wafanya biashara wengine kedekede...
Back
Top Bottom