Livestream ya hotuba ya Lissu kwenye Digital Mwananchi iko censored?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,642
2,000
Naangalia hapa acceptance speech ya Tundu Lissu.

Hoja zake nyingi, hususan zile za nguvu na uwezo wa rais, nazikubali.

Cha kushangaza ni kwamba, kila akianza kumrushia vijembe na madongo Rais Magufuli, sauti inapotea kwa muda halafu baadaye kidogo inarudi.

Anaendelea tena kuongea, lakini akianza tu kumchana Magufuli, sauti inapotea!!

Ni mimi tu ndo inanitokea? Au na wengine mmeliona hilo?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,642
2,000
..this guy needs a speech writer.

..yes, he is capable of writing his own speeches, but to get to the next level he needs a team of good speech writers.

..he can not continue to be jeshi la mtu mmoja.
True.

Lakini kwa kweli nimeipenda hii hotuba yake, nikiweka utani pembeni.

Kazungumzia mambo ya msingi sana ambayo kwa kweli nakubaliana nayo 99% na ambayo sijawahi kumsikia kiongozi yeyote mkuu wa CCM akiyazungumzia.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
19,969
2,000
True.

Lakini kwa kweli nimeipenda hii hotuba yake, nikiweka utani pembeni.

Kazungumzia mambo ya msingi sana ambayo kwa kweli nakubaliana nayo 99%.
..I get it.

..but to reach his full potential ni lazima awe na very capable advisors ktk fani mbalimbali ikiwemo hotuba.

..wanasiasa wengi wa bongo hawajiandai kutoa hotuba, au wanapokwenda kwenye press conference.

..hata Mwalimu Nyerere, Ben Mkapa, John Kennedy, Barack Obama, walikuwa na waandishi wa hotuba, and they made them look good/great yeye ni nani asiwe nao.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,642
2,000
..I get it.

..but to reach his full potential ni lazima awe na very capable advisors ktk fani mbalimbali ikiwemo hotuba.

..wanasiasa wengi wa bongo hawajiandai kutoa hotuba, au wanapokwenda kwenye press conference.

..hata Mwalimu Nyerere, Ben Mkapa, John Kennedy, Barack Obama, walikuwa na waandishi wa hotuba, and they made them look good/great yeye ni nani asiwe nao.
Hoja nzuri.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,148
2,000
Sababu 16 zilizoorodheshwa katika form za mgombea Urais hazimgusi Tundu Lissu, tupo salama kisheria kugombea nafasi ya Urais. Maendeleo ni nini kwa mtizamo wa Nyerere. Tuna aina ya Rais-Mfalme

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,971
2,000
Naangalia hapa acceptance speech ya Tundu Lissu.

Hoja zake nyingi, hususan zile za nguvu na uwezo wa rais, nazikubali.

Cha kushangaza ni kwamba, kila akianza kumrushia vijembe na madongo Rais Magufuli, sauti inapotea kwa muda halafu baadaye kidogo inarudi.

Anaendelea tena kuongea, lakini akianza tu kumchana Magufuli, sauti inapotea!!

Ni mimi tu ndo inanitokea? Au na wengine mmeliona hilo?

Na hata hii link yako mods wameshafanya yao!

Not available!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom