mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Sudan: Mwanamke afungwa jela kwa kumbusu Mwanaume

    Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi mbalimbali hukumu ikabadilishwa. Adhabu ya awali iliyotolewa katika Mji wa Kosti, Jimbo la White Nile...
  2. JamiiForums Tanzania Tunavyotoa msisitizo kwamba mbaki njia kuu ama kuchepuka kiakili muwe mnalewa, Huyu mwanamke karekodiwa akifanya limbwata

    Kama unajua kabisa mke wako katokea zile sehemu (zinajulikana) wanakosifika kwa mambo haya, tulia kwenye ndoa ufururahie utimamu wako, ukijidai mbishi na kuna akili za kuchepuka, akija kugundua unamwekea mazingira ya kumlazimisha akutulize. Kama ni michepuko usiparamie ovyo ovyo, piga research...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke Kaumbwa Kuburudisha Iweje Atake Kuridhishwa Yeye? Wamepindua Meza Au?

    Kwanini wanakata viuno na wanafundishwq kukata viuno msingi wa hizi trainings au mafundisho ni nini? Tusipoteze nguvu sisi tutafute pesa wao waburudishe naongezea hapa chini maelezo. Katika akili za haki na za kawaida na za kiumbaji, kiutamaduni na kibiashara mwanamke ameumbiwa Kuburudisha na...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke first born. Nilisoma hapa habari zake. Kongole

    Mwenza wangu ni first born . Hana upuuzi wa ki DSM kihoma Arusha au mwanza. Anajali familia, ananijali na analea watoto wake. She is genius. Oeni watoto wa kike first born. Hawana ungese..... Na mafanikio niliyonayo she is infront. Ndio njia yangu, goal, intelligent, brilliant na hajawahi...
  5. JamiiForums Tanzania Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

    Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine. Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike. Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

    Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi. Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu...
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kuchagua rangi, uzuri, umbo na kimo cha mwanamke

    Niwe mkweli hivi makusudi ya Mungu kutuumba sisi wanaume na ubabaifu wa macho, au ni mimi tu mwenye macho ya Ndoige sieleweki vybez zangu ni zipi white Ndoige, dark Ndoige, nundu Ndoige, mshepu Ndoige, mfupi Ndoige, mrefu Ndoige, mwembamba Ndoige. Hadi najishangaa huu ujazo wa utajiri wa huyu...
  9. JamiiForums Tanzania Senegal: Mbunge mwanaume asitisha hotuba aenda kumpiga mbunge mwanamke, Bunge likiwa ‘LIVE’

    Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine kuingilia kuwatuliza vurugu ziliendelea kwa wawili hao kuendelea kutupiana maneno na kutaka kushikana...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke anajua anakunyima kitumbua, na anataka umpe pesa. Msaada tutani

    Ni mwanamke wa kihaya. Anaonekana kunipenda Kwa status yangu, ila Hana dalili ya kutoa mzigo Kwa kuwa Hana anaonekana Hana really love kwangu. Huyu nimfanye nini wakuu. Japo bado Nampa kampan na kuhakikisha hanimalizi Kabisa. Maana anataka vitu vikubwa vikubwa gari nk
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume Mpumbavu ndio humpigia mkewe magoti. Jioneshe kuwa Mwanaume

    MWANAUME MPUMBAVU NDIO HUMPIGIA MKEWE MAGOTI;. JIONYESHE KUWA MWANAMUME Anaandika, Robert Heriel Shahidi Mwanamke pekee ambaye mwanaume anaweza kumpigia magoti ni Mama yake. Na hapa nazungumzia mwanaume sio mvulana. Nazungumzia mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 20. Mwanaume atapiga magoti...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya Mapenzi mara kwa mara kunasaidia kuifanya ngozi ya mwanamke iwe nyororo na isiwe na chunusi?

    Hivi ni kweli kuwa kwa mwanamke kufanya mapenzi mara kwa mara kunamsaidia kuondoa chunusi na kuifanya ngozi yake kuwa nyororo na yenye mng'aro angavu? Kuna uelewa wa kitaa kuwa sex inamsaidia sana mwanamke kutokua na chunusi. Na hata wanawake ambao wanajulikana hawafanyi sex mara kwa mara...
  13. JamiiForums Tanzania SINEMA FUPI: Kwa Tanzania kuna mwanamke anaweza kujitokeza na kumponya farasi kwa njia hii?

    Katika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona. Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
  14. JamiiForums Tanzania KWA WANAUME PEKEE: Mahitaji ya mwanamke ni nini?

    JE WANAWAKE WANATAKA PESA? Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada. Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na majibu yake kichwani kwake, lakini mimi nitajibu kupitia wanachokisema wanasaikolojia katika vitabu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kusifiwa ni jambo la asili, iwe nyumbani, kazini au kwenye siasa, na watu wanapaswa kuelewa hilo

    Nikiwa shuleni kwa muda mref sana sikuweza kupata rafiki wa kike katika shule yetu ya mchanganyiko. Rafiki zangu wote walikuwa na girl friends. Siku moja rafiki yangu mmoja akaniambia, ukitaka msichana akupende msifie, hata kama unachomsifia sio kweli. Sasa nenda kajaribu hilo uone kama hutapata...
  16. JamiiForums Tanzania Top 5 ya makundi yanayoongoza kumnyanyasa mwanamke na mtoto japo yanajua kujificha

    TAMWA wanatafsiri Ukatili wa kijinsia kuwa ni kitendo anachofanyiwa mtu yeyote mwanamke au mwanaume kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Hata hivyo tafiti nyingi zimeonyesha kwamba wanawake ndiyo wahanga wakuu wa ukatili wa kijinsia. Tukimjadili...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

    Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa mimba (kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea? Ninaombeni elimu juu ya hili wadau.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa ndoa

    Hello wana JF, Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu. Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu. Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
  19. JamiiForums Tanzania Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

    Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana. Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo? Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila...
  20. JamiiForums Tanzania Mlio kwenye ndoa naombeni ushauri juu ya huyu mwanamke

    Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…