mwanamke

  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Anajaribu kunizuia kumwagia nje wakati nakaribia kufika mshindo, ni mbinu ipi ya kukabiliana na mwanamke huyu niliyekolea kwake ila sitaki kumpa mimba

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12 jioni kila siku kasoro jumapili. Duka lilipo sio mbali sana na ofisi yangu, nilipomwona huyo mtoto...
  2. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiletewa Kesi na Mwanamke usiiendee kichwakichwa!

    UKILETEWA KESI NA MWANAMKE USIIENDEE KICHWAKICHWA! Anaandika, Robert Heriel Baba. Ukiletewa Kesi yoyote na Mwanamke iwe NI mama yako, au MKE wako, au Binti yako, au Mama Mkwe wako, shangazi au Bibi yako, nakusihi usiiendee kichwakichwa! Utakwama! Utaangukia pua. Kwanza elewa kuwa Wanawake...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mwanamke shujaa

    Watanzania tuwe wakweli. Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa. Apongezwe kwa busara zake.
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

    Habari zenu wadau? Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu. Siko hapa kuwakejeli wanawake, ila naomba nijuzwe kama kuna dawa niusaidie huu mchepuko wangu maana kuna muda anakuwa...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye subra na asiye na papara ya kunichuna pesa atanifaidi sana

    Wasalaam JF Katika harakati zangu za ubatizo wa kimahusiano, utamaduni wangu hua navaa low profile yaani mithili ya mtu asiejiweza kipesa, kupitia hili mahusiano yangu mengi yanakufa chap kwa haraka, leo yanaanza Leo Leo au kesho yanakufa. Situmii pesa kwa kiasi kikubwa kushawishi mahusiano...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

    Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
  9. kichwanewz

    JamiiForums Tanzania Tabia za mwanamke wa kuoa (wife material)

    Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye. Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama wife material ama mke bora. So utamtambuaje mwanamke ambaye ni wife...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sijawahi na sitawahi kumpenda mwanamke awaye yeyote daima

    Natumai mwabuheri wa afya tele na mko vema na huu mwaka mupya. Leo nikiwa ndani ya shoo shoo na pisi mpakato yangu nimeulizwa mbona hujanitafuta ni wiki mbili toka tufamiane ulikuwa unasubiria mwaka mupya ufike ndio uniite? Hapo ni baada ya kula shoo kama awamu mbili na vibez kama zote, mvuvi...
  11. marehem x

    JamiiForums Tanzania Ni kosa nililolijutia kuwa na mke wa mtu mwaka 2023. Huyu mwanamke anaviranga

    Kama mjuavyo bongo Ina raia wengi wa Tanzania wenye ndg zao mataifa ya arabuni. Basi bana jamaa alikubali Kiulainii asijue amedanganywa bin kudanga. Mkewe anakubali safari Dubai na marafiki kubiashara. Huyu mwanamke Hana hata genge la nyanya. Ameomba aende majuu na mashoga zake ajifunz biashara...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpaka mwanamke aharibu, basi nyuma yake kuna mwanaume/wanaume walishaharibu

    NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!. Turudi kwenye Mada,. Unajua tangu ulimwengu kuumbwa, Mwanaume akapewa ,Ufalme, Uongozi ,Umiliki na Utawala Kwa...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Mwanamke bora wa Maisha yangu

    Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
  14. opondo

    JamiiForums Tanzania Watumia mkongo wanatuharibia kizazi hiki, wapelekwe mahakamani

    Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote. Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe. Nikapata mwingine pia ndani...
  15. dracular

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf, Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu. Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ni mzuri kama malaika, halafu mlokole

    Wakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana. Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, unapenda mwanamke wako awe na kipi kati ya hivi?

    Huku kuna dimples kule kuna diastema ukipenda uite mwanya kazi ni kwako
  18. B

    JamiiForums Tanzania HIV+ woman needed

    I'm innocent 40 miaka One child WITH HIV+ I don't have a wife I'm Christian I love God too much Natafuta mwanamke yuko na VIH + Mature, love to pray Love work Love God Mwanamke mrembo Mungu akubariki. Write to me bressinginnocent@gmail.com
  19. The Monk

    JamiiForums Tanzania Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

    Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake. Sasa kama unamheshimu...
  20. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nlichojifunza ni kwamba kila mwanamke ana 'price'

    Nisiwachoshe... huu ni ukweli mchungu kabisa, tunamalizia likizo na sikukuu lkn jana mke wa mtu kabisa kanilegezea balaa lakini nilikuwa tayari nimeshaopoa kitoto fulani hivi la sivyo angelizwa mtu. Wanawake wote wana 'price' hakikisha tu price ya mke wako ni kubwa na wewe ndo unaweza kuimudu...
Back
Top Bottom