mwanamke

  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania SINEMA FUPI: Kwa Tanzania kuna mwanamke anaweza kujitokeza na kumponya farasi kwa njia hii?

    Katika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona. Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
  2. Mjamaa1

    JamiiForums Tanzania KWA WANAUME PEKEE: Mahitaji ya mwanamke ni nini?

    JE WANAWAKE WANATAKA PESA? Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada. Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na majibu yake kichwani kwake, lakini mimi nitajibu kupitia wanachokisema wanasaikolojia katika vitabu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kusifiwa ni jambo la asili, iwe nyumbani, kazini au kwenye siasa, na watu wanapaswa kuelewa hilo

    Nikiwa shuleni kwa muda mref sana sikuweza kupata rafiki wa kike katika shule yetu ya mchanganyiko. Rafiki zangu wote walikuwa na girl friends. Siku moja rafiki yangu mmoja akaniambia, ukitaka msichana akupende msifie, hata kama unachomsifia sio kweli. Sasa nenda kajaribu hilo uone kama hutapata...
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya makundi yanayoongoza kumnyanyasa mwanamke na mtoto japo yanajua kujificha

    TAMWA wanatafsiri Ukatili wa kijinsia kuwa ni kitendo anachofanyiwa mtu yeyote mwanamke au mwanaume kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Hata hivyo tafiti nyingi zimeonyesha kwamba wanawake ndiyo wahanga wakuu wa ukatili wa kijinsia. Tukimjadili...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

    Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa mimba (kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea? Ninaombeni elimu juu ya hili wadau.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa ndoa

    Hello wana JF, Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu. Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu. Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
  7. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

    Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana. Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo? Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye ndoa naombeni ushauri juu ya huyu mwanamke

    Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mwanaume unampa mashaka mwanamke juu ya baba halali wa mtoto

    Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi: Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini. Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naomba Pendekezo la kabila la pwani ambalo mwanamke anakaa kitako home na wasio wavigoma na shughuli

    Kwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao. 1. Mluguru 2. Mkwere 3.Msagara 4.Mzigua 5. Mzaramo 6.Msambaa 7.Mbondei 8. Mdigo 9. Mjikenda 10...
  11. Doz m

    JamiiForums Tanzania Nikifanya mapenzi peku na mwanamke yeyote, baada ya siku kadhaa atasema tumbo linamuuma. Tatizo laweza kuwa nini?

    Naombeni ushauri wa kitiba, kila nikitembea na mwanamke pekupeku lazima baada ya siku kadhaa akuambie tumbo linamuuma, na mimi kwa upande wangu uume umekuwa ukiniwasha washa kwene urethra hadi unatamani uigize kakitu ukune, lakini pia nikibana mkojo kidogo tumbo linajaa na mara nying tumbo...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

    Wanaume, Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa. Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi. Wanaume wengi waliyodhani wanapendwa kumbe wanaliwa tu, baadaye hufilisika na...
  13. G7seven

    JamiiForums Tanzania Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

    Wahenga wanasema ukitaka kupata urahisi wa kufanya jambo lako washirikishe wazee, ukubwa dawa. Wiki iliyopita nilikuwa na wazee wetu kijijini, tulikutakana kwenye ndoa ya kijana mwezetu kutoka kwenye ukoo. Katika kupiga soga za hapa na pale kuna mzee mmoja akawa anasitiza na sisi vijana wengine...
  14. Execute

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

    Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa. Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano. Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM inayoongozwa na mwanamke bado ina mfumo dume

    Wakati napitia pitia orodha ya walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi, (CCM), ghafla nikakutana na nafasi mbili ambazo wagiombea wake ngazi ya wenyeviti ni wanaume watupu na nagazi ya Makamu Mwenyekiti ni wanawake watupu. Katika kutafakari endapo jambo hilo limetokea kwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usipoachana nae kwa ugomvi mkali ni mtihani sana

    Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka. Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya...
  17. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  18. Execute

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuwa na akili pale tu anapokuwa hajazama kwenye mapenzi

    Mwanamke akishapenda huwa anasahau kila kitu na anaenda kwa hisia pekee. Yaani kuna mwanaharakati mmoja anaandika sana mitandaoni, lakini akija huku ni tofauti kabisa kwasababu amezama kwenye mapenzi. Ni dhahiri kwamba mwanamke ni mwaminifu kwa hisia zake tu.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Usimwamini mwanamke kwa 100% hata siku moja

    USIMWAMINI MWANAMKE HATA SIKU MOJA! TRUE STORY Nilikutana na Sharifa mwaka 2015 akiwa anafanya kazi mgahawani maeneo ya posta ya zamani. Nilipomuona tu siku ya kwanza nikampenda. Baada ya siku 3 za kwenda kula pale tukazoeana nikamuomba namba akanipa tukaanza mawasiliano ya mara kwa mara...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mwanamke atembea barabarani aanguka na kufa bonde la Msimbazi

    Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu. Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding. Basi watu wakakasirika...
Back
Top Bottom