mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu. Kuonyesha maumbo ya KIBANTU ya MWANAMKE WA AFRIKA

    Naaamu achana na hawa slim body,tupia picha ya mwanamke halisi wa kibantu.
  2. JamiiForums Tanzania Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

    Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia hiyo hiyo miaka yote. Ni muhimu ujifunze kumvutia na kumtunza mwanamke kwa mfumo unaosema ukweli na...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

    Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania. Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja. Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu. Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what...
  5. JamiiForums Tanzania Ni upi mtazamo wetu Wanaume juu ya mwanamke?

    NibupibUkimtazama mwanamke unamuonje kwa mtizamo wako? Sisi kama wanaume na wanawake Wana mtazamo Gani juu yetu?
  6. JamiiForums Tanzania Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

    Wanabodi, Nimekutana bandiko hili humu JF Mnyukano Chadema ,mbunge Aida amkataa Lisu Ushauri wa bure Chadema, iwapo Watanzania kwa kauli moja wataamua 2025 twende na Mwanamke kama nilivyo shauri hapa, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hadi kufikia Mwaka 2021, idadi ya wanaume duniani ilikuwa 3,970,238,390 au milioni 3,970 au bilioni 3.97, wakiwakilisha 50.42% ya idadi ya watu ulimwenguni. Idadi ya wanawake duniani ilikadiriwa kuwa 3,904,727,342 au milioni 3,905 au bilioni 3.905, ikiwa ni 49.58% ya idadi ya watu duniani...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi?

    Kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi, lazima umuibe kutoka kwa mwanaume mwingine asiyejali thamani ya alichonacho!
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke wako atakuchukia usipomuongoza?

    Kwenye uongozi kuna lawama. Lawama za kwanini jahazi halisongi mbele/ limeenda mrama. Lawama zingine huwa hazina msingi. Mwanamke hutegemea mwanaume ndo abebe hizo lawama. Na ndio inakua rahisi kwake kujiachia kwako kwa kuwa umemkinga na lawama. Hiyo ni moja ya majukumu yetu wanaume kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

    Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala. Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake wanakuwa (Wachungaji) manabii shetani ameshika hatamu kwa kupitia Wanawake. Wanaume tumekuwa dhaifu...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunapenda mwanamke anaejua kupika sio anayejua mapenzi kitandani

    Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo. Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika. Wanaume tunatafuta hela kwa shida tukirudi nyumbani tunahitaji tukute msosi Bomba na mapenzi motomoto, kila day mwanamke...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumvutia Mwanamke unapokutana naye mara ya kwanza (First Date)

    Wanawake wanachukua muda kupenda. Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe. Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha. Mfanye aone...
  13. JamiiForums Tanzania Vitu Vya Kuepuka Mnapotoka Na Mwanamke Mara Ya Kwanza (First Date)

    Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi. Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi. Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa huyu Mwanamke naamini Shetani anaona wivu kishenzi

    Huyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda. Kanikubalia mwezi wa 7 huyu ila bado hajanipa papuchi. Anasema ananipima kama kweli nampenda au nataka kumchezea tu. Nimeona...
  15. JamiiForums Tanzania Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
  16. JamiiForums Tanzania Ushoga na haki za mwanamke na watoto ni watoto pacha

    Binadamu na viumbe wengine wana tabia kuu zinazofanana. Viumbe wote wanazaa, kula, kuhema, kuhisi, kutoa uchafu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tabia zote hizi huwezi kuzizuia Wala kuziruhusu zitokee kwa utashi wa viumbe vyenyewe, hutokea automatically chini ya autonomic nervous...
  17. JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke mwanaharakati utaishi kwa machungu sana kwenye ndoa

    Salamu zenu wakuu Wana JF, Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji. Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie ndoa zinamshinda kwa harakati zake za kutaka kuwa juu ya mwanaume. Wanawake wakikaa kwenye vikao...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, wanaume mnafeli wapi? Ona wanaume acheni kuwa dhaifu

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini...
  19. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  20. JamiiForums Tanzania Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…