mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Upekee wa Mwanamke ni chuchu embe na sura nzuri

    Hello JF family, Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na sura nzuri. Tuwe wakweli, mwanamke mwenye chuchu bomba na sura nzuri ana mvuto wote, hata mashetani...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Uaminifu wa mwanamke hujaribiwa wakati mwanamume wake hana chochote na Uaminifu wa mwanaume hujaribiwa wakati ana kila kitu

    Inawezekana kwamba msemo huu unashiria kwamba mwanamke anakuwa na uaminifu mdogo wakati mume wake hana utajiri, wakati mwanaume anapokuwa na kila kitu, anahitaji kujaribiwa kuhusu uaminifu wake kwa sababu anaweza kuwa na fursa nyingi za kuwa na wanawake wengine. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke ambae upo single na usingizi umegoma njoo tuliwazane hapa

    Ulimwengu wa leo sio wa kuwa mpweke maana Dunia ni Kijiji, ulie single njoo tufarijiane.
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, atafanya mambo haya

    Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, lazima atafanya mambo haya amtembeleapo mpenzi wake wa kiume:- Kufua nguo Kupika Kusafisha nyumba Kutandika kitanda Kutoa mapenzi moto moto Kuongea kwa lugha ya upole Kumpangia/kumuandalia mpenzi wake nguo za kuvaa Kama hafanyi hayo mambo; juwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

    Habari za Leo. Kwangu ni lazima kuoa Mwanamke wa Kaskazini au jamii zinazokaribiana Mila, desturi, falsafa na mitizamo kama ya Wanawake WA Kaskazini. Kuoa Mwanamke wa Kaskazini kwangu Sio Optional, bali ni lazima. Hii itabaki kuwa hivyo ilivyo. Sio kila mtu atakayetaka kujua sababu ya Mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kitu muhimu kwenye Mahusiano ni kumuongoza Mwanamke

    Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi pale kifo kitawatenganisha. Ukiacha kumuongoza ndo mazoea huanza. Wote mnakosa hamu ya kimapenzi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kumuhudumia mwanamke asiye mke wa ndoa ni umbumbumbu

    To be honest, mimi kumuhudumia mwanamke ambaye ni mwenza tu siwezi kabisa. Eti mwanamke ananiambia usisubiri nikuombe uwe unajiongeza, nikamuuliza hivi mimi kukuhudumia ni wajibu, akasema wajibu! Nikamwambia wewe sio mwanangu wala mke wangu wa ndoa, wala si baba yako, hivyo kuniambia nijiongeze...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke usiringe sana kwenye ujana wako

    Mwanamke huyu hapa (anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana. Amedai kwamba alikua akiogopa atabebeshwa mimba na kuachwa, lakini sasa amepata matatizo ya kiafya, na amekuwa mlemavu...
  10. JamiiForums Tanzania Jali hisia za Mwanamke wako na Muishi kwa furaha

    Mwanamke anataka ajisikie unamjali. Yaani unajali hisia zake za upendo kwako. Ila drama zake unaweza kupotezea. Utamuonesha kujali hisia zake kwa kutenga muda kwa ajili yenu. Mkatengeneza kumbukumbu mbali mbali kwa kwenda sehemu tofauti au kucheza pamoja na kufurahi pamoja. Na kumpa mapenzi...
  11. JamiiForums Tanzania Dini si imani, Mimi mkristo nimekubali kuoa ndoa ya kiislamu, ndoa ya kikristo inampa kiburi mwanamke na ni ngumu kusuluhisha matatizo

    Kwa kipindi kirefu nimekuwa nasita kuoa, kwa umri wangu wa miaka 28 nimeona ni wakati sasa niwe na ndoa official, Si mara ya kwanza kufikiria hili jambo, ni tangu nipo 25 nafikiria ila sheria za ndoa za kikristo zilikuwa zikinipa hofu kubwa mno hasa kwa tunayojionea kwa wahanga, Ni lazima...
  12. JamiiForums Tanzania Fanya malengo yako yawe ya kwanza sio mwanamke

    Ratiba zako, pesa zako na mawazo yako mengi yaelekee kwenye malengo. Alafu utengeneze muda kwa ajili ya mwanamke na familia pia. Na sio kinyume. Yaani ukaanza na mwanamke alafu ndo ufate malengo yako, hapana. Achana na wazo mwanamke ndo kila kitu kwako. Achana na wazo mwanamke ndo...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kunyonya lips za mwanamke aliyepaka lipshine hupelekea ugonjwa wa Homa ya Ini

    Hivi kuna ukweli ndani yake kuwa wanaume wanaonyonya lips za wanawake waliopaka lipshine, hupelekea kupatwa na Hepatisis B?
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

    Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu. Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume hujiweka wao wa kwanza kabla yenu. Ikitokea mwanaume kapata fursa labda ya kusoma au kazi mbali na...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mwanamke akuheshimu na aheshimu muda wako

    Asili ya mwanamke ni kuharibu mambo. Asili ya mwanaume ni kuweka vitu pamoja/ kuvifanya viwe vya sawa/kawaida. Kwaiyo ukiona mwanamke anakufanyia vitu vya ajabu, anachafua mambo, anaharibu mambo, anavunja mipaka ujue ni kazi yako kuvifanya virudi kwenye mstari. Sababu maamuzi yao yanatokana...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

    Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam. Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  19. JamiiForums Tanzania Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

    Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio. Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

    Imagine sisi wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume kama kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk, na kitandani mnatufanyia Utumwa mkubwa sana, hamtupi haki yetu sawa. Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho, big NO! Hata vitabu vya dini havijataja sehemu yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…