Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

G70

JF-Expert Member
Jul 13, 2022
1,109
2,252
Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio.

Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
 
Wanawake wajinga huhangaika na michepuko badala ya ku deal na waume zao, Sasa na wee mke ka ulitongozwa na meenzako naye katongozwa na ana k ka wewe.
Hafu wanawake wengine hawajiamini hata ukipendeza ukapita akiwa na mumewe, mumewe akikuangalia ana kuchukia huo si ujinga, dah Mimi mwanaume nilimuelewa napita naye kule upige simu au lah.
 
Survival for the fittest
 
01AA71B9-55CE-4D3F-BDE2-A08083A50B5A.jpeg
 
Back
Top Bottom