mwanamke

  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke aliyeenda kutafuta pochi yake mtoni, mwili wake wakutwa kando ya mto

    Mwanamke mmoja ambae bado hajajulikana ameuliwa na watu wasiojulikana na kutupwa mto Themi akiwa bila nguo. Tukio hilo ambalo limezua taharuki miongoni mwa watu limetokea kata ya Sinoni katika mtaa wa onjavutian. Mwenyekiti wa mtaa wa onjavutian ambapo tukio hilo limetokea Lesioni Joseph...
  2. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Usipomtongoza Mwanamke Umtakaye ujue Umejipiga chaga Mwenyewe

    Kama hujamfata kuongea naye. Kama hupeleki mahusiano mbele. Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka. Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa. Zile sababu kama “atakua bize”/ “atakua na mtu wake”/ “mi sitokagi na wanawake aina yake”/ “sina mstari...
  3. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Ukiona ishara hizi 12 ujue mwanamke anataka mrudiane lakini bado anasitasita

    Si rahisi kujua kama mwanamke anataka mrudiane. Hasa pale unapokua humwelewi kwa vitu vinavyotokea. Kutokana na wanaume nliowasaidia kuwarudisha ma ex wao. Wakiachwa wampe muda huyo mwanamke bila kumtafuta. Na baadae mwanamke anaanza kujirudi tena, nimeona hivi vitu vinajirudia rudia. Nawe...
  4. consolatha99

    JamiiForums Tanzania SoC03 Fikra Chanya Katika Kujikomboa

    Jamii iko katika mchakato usio na mwisho wa uboreshaji ambao unahitaji kizazi thabiti cha mawazo mapya. Changamoto mawazo ya kawaida ni matokeo ya kufikiri ubunifu na hoja tata ambayo ni kazi ya elimu ya juu. Kama msomi, nimekuwa nikitamani kila wakati kuleta mawazo mapya, imani, imani, na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Acha nijaribu bahati yangu huenda Mungu atanisaidia. Natafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha

    Habari wana JF! Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa. Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo. UMRI: Miaka 18-26 ELIMU: Kuanzia kidato cha nne DINI: Mkristo. Asiwe na mtoto, awe mwembamba, mwenye hofu ya Mungu, asiyependa kuwa mama wa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

    MWANAMKE KUPATA MIMBA PASIPO RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Sisi kama wanaume tumekubali kabisa kuwa Kufanya ngono na Mwanamke Chini ya miaka 18 hiyo itahesabika kama Kosa la JINAI, Kwa jina la Ubakaji, bila kujali hiyo Binti alifanya Kwa ridhaa yake au Kwa...
  7. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  8. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanamke amekuvutia usiogope kumuonesha nia yako tangu mwanzo

    Usianze kiurafiki alafu baadaye ndo mbadilike muwe wapenzi. Usifiche malengo yako kwa mwanamke aliyekuvutia. Lakini umwoneshe taratibu kama unamuhitaji. Sio ubwage kila kitu mara ya kwanza. Atakuzungusha ukifanya hivyo. Ataona hana cha kuhangaikia. Mwoneshe unamtaka kimapenzi hata bila...
  9. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

    Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa. Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa. Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka kwa mwanamke. Kosa hilo ni: Kumtafsiri mwanamke kwa maneno yake zaidi ya vitendo vyake. Kumsikiliza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

    Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zamani kupenda haikuwa Haki ya Mwanamke, Mwanamke anahaki ya kupenda pia

    Anaandika, Robert Heriel. Baba. Zamani Mwanamke hakuwa na Haki ya kupenda, hakuwa na Haki ya kuchagua mwanaume WA moyo wake, Mwanaume anayempenda. Mwanamke alikuwa kama kikaragosi tuu kisicho na haki ya kuamua hatma ya Maisha yake katika mahusiano yake. Mwanamke alichaguliwa Mume na akaolewa...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu yenye machozi ya raha: Mara yangu ya kwanza kupata penzi la mwanamke wa Kiyao toka Tunduru

    Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi. Hii pisi ilikuwa kali sana yenye macho matamu yenye asili ya aibu. Enzi hizo napiga kazi za ajira salalary...
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania Sindano ya kutibu U.T.I yadaiwa kumletea madhara mwanamke huyu

    Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada ya kuchomwa sindano ya U.T.I katika moja ya duka la madawa (pharmacy) linalopatikana mkoani hapo...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya mwanamke kusalitiwa: Hana wa kumtetea, jamii inaona ni haki yake

    Maumivu ya mwanamke anaposalitiwa yanaweza kuwa na athari kubwa sana kihisia. Hali hii inaweza kusababisha machungu na kuumiza moyo. Kila mwanamke anaweza kuhisi maumivu tofauti na kuonesha hisia tofauti kulingana na uzoefu wake binafsi na mazingira ya kijamii. Mbaya zaidi mwanamke amezungukwa...
  15. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kiurahisi, tambua mwanamke anayekukubali na cha kufanya

    Atakurahisishia mchakato wa mapenzi. Usifanye mambo yawe magumu ukishajua hilo. We utafanya mambo yawe magumu ukifanya makosa haya; Kuwa muoga, Kumuachia uongozi yeye, mfano kumuuliza “ivi si tunaweza kutoka?” yani kutokua na uhakika kwa kile unachotaka, Kutaka kuharakisha mahusiano (mwanamke...
  16. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mwanamke anayejiona yupo singo kwenye mahusiano

    Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake. Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume. Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa. Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo. Atakutumia tu. Akishapata anachokitaka atakuacha, unabaki na maumivu. Utamjuaje? Dalili kubwa ni hizi...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  18. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

    Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko mkoani, mimi nipo zangu hapa Town nimeajiriwa ofisi fulani na nimepanga ila mara kwa mara huwa...
  19. KJ07

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya Ujasiriamali: Safari ya Mwanamke Mjasiriamali katika kuinua Wanawake wenzake

    Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu na nikaanza kufanya kazi katika benki kubwa, lakini siku zote nilijua kuwa nina wito mwingine wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

    Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe. Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
Back
Top Bottom