Mwanaume wa miaka 37 anahitaji mwanamke daktari wa wanadamu, au mwalimu wa kuoa. Awe na sifa zifuatazo:
1. Daktari wa wanadamu aliyehitimu au aliye na kazi
2. Mwalimu wa msingi au sekondari aliyehitimu au aliyepo kazin tayari
3. Asiwe na mtoto au ikitokea anaye, basi mmoja wa kike lkn wa umri...
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya...
Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.
Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .
Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .
Na itakuongezea heshima
35 Yrs Jux
23 Yrs Prisca.
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) leo tarehe 18 Aprili, 2025 imekabidhi Taulo za Kike (Sanitary Pads) 350 kwa Wasichana walio katika mazingira magumu nyakati za hedhi husababisha changamoto kubwa kwa wasichana kuhudhuria masomo...
Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za ki-soka
Kuna wakati mwanamke mnene na makalio alionekana kama kama mzigo fulani hivi akawa...
Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua ....
Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
Aisee kataa ndoa sometimes nawaelewa Fulani ila nyie sababu yenu haswa Huwa haina mantiki Mimi yangu ni spesheli.
Binafsi Mimi Huwa sipendi mwanamke msahaulifu wa mambo na ukimuhoji kwanini anasahau anajibu kwamba kichwani mambo mengi wakati hatafuti hela kila kitu unatafuta mwanaume..
Yaani...
Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake...
Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija...
Dah! Asikwambie kitu, Dar ina wanawake wazuri lakini sikuwahi kuona mwanamke kama niliyemuona siku ya leo
Siku ya leo nimeamua kutoka kwangu, somewhere X nikatembelea maeneo fulani hivi ya uswazi kumcheki mshkaji wangu ambaye nilikuwa naye pale UDSM kitambo kile
Wakati tukiwa nje ya fremu...
Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa
Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
Km kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa nieleze kwa ufupi sana sababu mimi sio mwandishi mzuri.
Lakini ningeanza na wanawake mjitafakari sana mnapoingia kwenye mahusiano. Ipo hivi unakuta mwanamke ana umri 28+ jioni ile pale jua lishazama kashatembea kilometres nyingi kashaishi sana...
Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa.
Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni”
Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
Tukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana.
Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.