Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,208
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....